Natafuta Partner wa kutoka naye siku ya WHITE PARTY!!!!!!!!

Kama sijachelewa naomba nifikirie jamani na mimi, jamani we dada na mimi jamani....usitake nilie please!
 
Last edited by a moderator:
Mwanaume wa kweli hua ni muaminifu kwa mpenzi wake na hana tabia za kudandia dandia wanawake hovyo hovyo kama wewe.
Baro unamkumbuka?
Sera zangu huwezi kuziona, wala kuzisikia. Huwa nafunguka kwa watoto wa kike tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…