Natafuta Partner wa kutoka naye siku ya WHITE PARTY!!!!!!!!

Last edited by a moderator:
Dada Lusile mara zote huwa wasema umekuja kuwashika CC, lakini pindi uanzishapo tu uzi wako unapotea mazima
 
Last edited by a moderator:
Yupo humu anawachoramo kuptia ID yake nyngne.

Dah sina uhakika sana na hilo ila kuna wakati hunifanya niamini hivyo ingawa kuna wadau wa CC washawahi mtia machoni....
 
nimeuliza mwauza na kununua watuu?

hapana nilikuwa napanga wasichana ninaowapenda sasa Mamndenyi akawa analalamika kupangwa namba 19...nikaamua awe 20 ili afunge mabano....namba moja wangu wamjua?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…