Yaani wakishaanza hizo "my my" ndo kabisa wananitoa kwenye lineHii ndio aina ya chatting ya vijana wengi wasio na shughuli nyingi za kufanya,,,kwa kuongezea tu hapo "sahivi unafanya nini my", "karibu tule", "mi ndio nalala my", "upo kimya my" hahahaha and the list goes on! Ni muendelezo wa viswali vya kijinga na kujikomba kwa kasi ya 4G huku demu akikuona bonge la mshamba!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Leo mmenithibitishia msemo wa kijiwe chetu wadada kuwa 'Wanaume wote baba mmoja mama mmoja' yaani akili zenu zinafanana[emoji53]
Kwamtindo huo sichat na nyinyi, ngoja niendelee kusubiri hapa mtu atakayeweza kunichatisha vya maana kama 'Hey lady ushapata msosi? Nakutumia 100k ukale sato maana najua ndo ugonjwa wako'[emoji6]
Kweli kabisa, naamini kuna wadada pia hufurahia huo mtindo wao wa kuchat, kama huyu mleta uzi naamini hizo sms za hivyo kwake ni burudani kabisaVijana wanazingua sana, lakini nafikiri ni interest tu mkiwa na common interests kwenye maeneo mengi yatakuwepo maana
Wewe uba bundle siyo tunaanza kuombana bundle kama mizimu inavyodai sadaka.Natafuta rafiki Wa kiume umri kuanzia miaka 29 kuendelea awe anapenda kuchat awe ana nitafuta Mara kwa Mara
Kama hupendi kuchat usinitafute maana naitaji rafiki Wa kunitoa upweke
Hahahah that kind of chat is so boring maam! Ila nimegundua wabongo wengi hatujui kuchati yani sema inategemea pia na mtu unaechat nae ana respond vipi,,, kwa mfano mimi kama utakuwa open and active we will spend hours tukibadilishana texts ila ukiwa mtu wa kujiskilizia hata nusu saa hatutoboi ntaishiwa cha kusema ndio yatafata hayo maswali ya kindagateni!Hili tatizo nalijua maana nakumbana nalo kila uchao. Mwingine anakusumbua weee nipe namba yako nipe namba yako ukimpa hapigi kazi kubeep tu, Agrrrrr.....wanakera sana!
Huo nimekupa mfano tu, kwa wewe hata ukinichatisha kivingine sawa tu kwa mfano "Hello T, najua muda huu ushapata breakfast nzito kabisa si ndio? Basi nakutumia 5k ya maji ushushie"[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ungepunguza kidogo 100K itakuwa ni anasa au Sato wamepanda bei kiasi hicho
Uende huko PM mkayajenge, nipate nafasi ya kupumua[emoji23][emoji23]
Weeh[emoji23]
Siwezi kabisa kukuacha wewe ice cream wa moyo wangu(sio tena barafu) ball corn wa moyo wangu
Siku nayokuacha ndio siku nakufa kabisaa[emoji23]
Afu ule uzi naandika keshoo[emoji7]
Kama siku ya kuniacha utakufa, vipi nikikuacha utakuwaje?[emoji848]
Ukiniacha nita pooza mwili mzima
[emoji23]baby ujue napata wivu sana unavojibebisha humu kwa members wengine
[emoji23][emoji23][emoji23]
Niache nitafute wa kunihudumia maana wewe ni 'debe tupu...'
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hapo kwenye debe tupu ni tusi kwa mwanaume
Tatizo wewe mwenyewe hutaki kuijia pesa unataka nizitume PM ?
Hahah sema your kind of thinking gives me no doubt that you have aged enough, probably age above 27 by now, incase upo single! Wadada waliokomaa kiakili huwa hawapendagi kuchat kitoto always,mtu akianza hivyo is a major turnoff!Yaani wakishaanza hizo "my my" ndo kabisa wananitoa kwenye line
At least I can afford thatHuo nimekupa mfano tu, kwa wewe hata ukinichatisha kivingine sawa tu kwa mfano "Hello T, najua muda huu ushapata breakfast nzito kabisa si ndio? Basi nakutumia 5k ya maji ushushie"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umenichekesha sana hapo kwenye mambo mengine vipi!Hahahah that kind of chat is so boring maam! Ila nimegundua wabongo wengi hatujui kuchati yani sema inategemea pia na mtu unaechat nae ana respond vipi,,, kwa mfano mimi kama utakuwa open and active we will spend hours tukibadilishana texts ila ukiwa mtu wa kujiskilizia hata nusu saa hatutoboi ntaishiwa cha kusema ndio yatafata hayo maswali ya kindagateni!
Kama ni kwenye simu pia hivyo hivyo, i like making a woman smile and laugh hysterically from the way i talk to her, kama nachokiongea hakikufurahishi i will run out of words fasta sana yani story zitakata chap, ukianza kusikia "mambo mengine vipi" jua hapo tayari hamna shughuli tena!
Kungwi wangu naomba usiniadhibu kwa kukiuka mafunzo yako[emoji85][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi Men pia wanatumia my mimi sijawahi tumia myHahah sema your kind of thinking gives me no doubt that you have aged enough, probably age above 27 by now, incase upo single! Wadada waliokomaa kiakili huwa hawapendagi kuchat kitoto always,mtu akianza hivyo is a major turnoff!
Hahahahah kwahio unapenda simu over chatting kumbe, sema una story sasa? Sio unapigiwa baada ya salamu huna cha kuongea unabaki "poa","niko poa tu","hakuna jipya nipo tu","sina hata story" hapo kitachofata ni "mambo mengine vipi?" ukijibu nakukatia simu sitakagi kuongea na jitu halina bashasha mimi![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umenichekesha sana hapo kwenye mambo mengine vipi!
Mimi kuchat ni mvivu kwa kweli nikikutana na anayejua kuchat atatuma sms 5 nitamjibu moja. Ukitaka unifaidi piga/nikupigie hapo hata masaa 2 tutaogea tu
Wapo ma nigga wanatumia my hasa lengo likiwa ni kilainishi na kutengeneza ukaribu wa fasta ili waonekane wanajua ku care kumbe ni majambazi sugu!Hivi Men pia wanatumia my mimi sijawahi tumia my
Sio lazima tu unitext kunambia unanitumia hela, pia waweza niuliza kama nimepata matokeo ya game ya jana kati ya Barca na Madrid au kunipa deals za mjini n.kAt least I can afford that
5K is okay [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ngoja basi nijaribu tena
Kumbe hiyo my ni chambo eeeh?Wapo ma nigga wanatumia my hasa lengo likiwa ni kilainishi na kutengeneza ukaribu wa fasta ili waonekane wanajua ku care kumbe ni majambazi sugu!
Nataka kupenda kama mjinga, yaani niwezombiee Nizame mapenzini nipotelee huko... - JamiiForumsNatafuta rafiki wa kiume umri kuanzia miaka 29 kuendelea awe anapenda kuchat awe ana nitafuta mara kwa mara
Kama hupendi kuchat usinitafute maana nahitaji rafiki wa kunitoa upweke