Natafuta rafiki wa kike

Natafuta rafiki wa kike

Hii ndio aina ya chatting ya vijana wengi wasio na shughuli nyingi za kufanya,,,kwa kuongezea tu hapo "sahivi unafanya nini my", "karibu tule", "mi ndio nalala my", "upo kimya my" hahahaha and the list goes on! Ni muendelezo wa viswali vya kijinga na kujikomba kwa kasi ya 4G huku demu akikuona bonge la mshamba!
Yaani wakishaanza hizo "my my" ndo kabisa wananitoa kwenye line
 
29years hakuna anaependa kuchat hvyoo kama unavyozan
Lazma awe anasimamia mambo yake
 
Leo mmenithibitishia msemo wa kijiwe chetu wadada kuwa 'Wanaume wote baba mmoja mama mmoja' yaani akili zenu zinafanana[emoji53]

Kwamtindo huo sichat na nyinyi, ngoja niendelee kusubiri hapa mtu atakayeweza kunichatisha vya maana kama 'Hey lady ushapata msosi? Nakutumia 100k ukale sato maana najua ndo ugonjwa wako'[emoji6]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ungepunguza kidogo 100K itakuwa ni anasa au Sato wamepanda bei kiasi hicho
 
Natafuta rafiki Wa kiume umri kuanzia miaka 29 kuendelea awe anapenda kuchat awe ana nitafuta Mara kwa Mara

Kama hupendi kuchat usinitafute maana naitaji rafiki Wa kunitoa upweke
Wewe uba bundle siyo tunaanza kuombana bundle kama mizimu inavyodai sadaka.
 
Hili tatizo nalijua maana nakumbana nalo kila uchao. Mwingine anakusumbua weee nipe namba yako nipe namba yako ukimpa hapigi kazi kubeep tu, Agrrrrr.....wanakera sana!
Hahahah that kind of chat is so boring maam! Ila nimegundua wabongo wengi hatujui kuchati yani sema inategemea pia na mtu unaechat nae ana respond vipi,,, kwa mfano mimi kama utakuwa open and active we will spend hours tukibadilishana texts ila ukiwa mtu wa kujiskilizia hata nusu saa hatutoboi ntaishiwa cha kusema ndio yatafata hayo maswali ya kindagateni!
Kama ni kwenye simu pia hivyo hivyo, i like making a woman smile and laugh hysterically from the way i talk to her, kama nachokiongea hakikufurahishi i will run out of words fasta sana yani story zitakata chap, ukianza kusikia "mambo mengine vipi" jua hapo tayari hamna shughuli tena!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ungepunguza kidogo 100K itakuwa ni anasa au Sato wamepanda bei kiasi hicho
Huo nimekupa mfano tu, kwa wewe hata ukinichatisha kivingine sawa tu kwa mfano "Hello T, najua muda huu ushapata breakfast nzito kabisa si ndio? Basi nakutumia 5k ya maji ushushie"
 
Mbona humu utapata wengi mpaka ushangae ebu ngoja nikuitie huyu kijana atakufaa sana Davet ukuje

Sema hapo kwenye umri upunguze sasa kama unataka wa kuchat tu umri huo hakuna anayependa sana kuchat
 
Uende huko PM mkayajenge, nipate nafasi ya kupumua[emoji23][emoji23]
Weeh[emoji23]
Siwezi kabisa kukuacha wewe ice cream wa moyo wangu(sio tena barafu) ball corn wa moyo wangu
Siku nayokuacha ndio siku nakufa kabisaa[emoji23]
Afu ule uzi naandika keshoo[emoji7]
Kama siku ya kuniacha utakufa, vipi nikikuacha utakuwaje?[emoji848]
Ukiniacha nita pooza mwili mzima
[emoji23]baby ujue napata wivu sana unavojibebisha humu kwa members wengine
[emoji23][emoji23][emoji23]
Niache nitafute wa kunihudumia maana wewe ni 'debe tupu...'
[emoji23]hapo kwenye debe tupu ni tusi kwa mwanaume

Tatizo wewe mwenyewe hutaki kuijia pesa unataka nizitume PM ?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yaani wakishaanza hizo "my my" ndo kabisa wananitoa kwenye line
Hahah sema your kind of thinking gives me no doubt that you have aged enough, probably age above 27 by now, incase upo single! Wadada waliokomaa kiakili huwa hawapendagi kuchat kitoto always,mtu akianza hivyo is a major turnoff!
 
Huo nimekupa mfano tu, kwa wewe hata ukinichatisha kivingine sawa tu kwa mfano "Hello T, najua muda huu ushapata breakfast nzito kabisa si ndio? Basi nakutumia 5k ya maji ushushie"
At least I can afford that
5K is okay [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ngoja basi nijaribu tena
 
Hahahah that kind of chat is so boring maam! Ila nimegundua wabongo wengi hatujui kuchati yani sema inategemea pia na mtu unaechat nae ana respond vipi,,, kwa mfano mimi kama utakuwa open and active we will spend hours tukibadilishana texts ila ukiwa mtu wa kujiskilizia hata nusu saa hatutoboi ntaishiwa cha kusema ndio yatafata hayo maswali ya kindagateni!
Kama ni kwenye simu pia hivyo hivyo, i like making a woman smile and laugh hysterically from the way i talk to her, kama nachokiongea hakikufurahishi i will run out of words fasta sana yani story zitakata chap, ukianza kusikia "mambo mengine vipi" jua hapo tayari hamna shughuli tena!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umenichekesha sana hapo kwenye mambo mengine vipi!
Mimi kuchat ni mvivu kwa kweli nikikutana na anayejua kuchat atatuma sms 5 nitamjibu moja. Ukitaka unifaidi piga/nikupigie hapo hata masaa 2 tutaogea tu
 
29 hawapendi kuchat saana labda 21-25 hapo unaweza pata
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umenichekesha sana hapo kwenye mambo mengine vipi!
Mimi kuchat ni mvivu kwa kweli nikikutana na anayejua kuchat atatuma sms 5 nitamjibu moja. Ukitaka unifaidi piga/nikupigie hapo hata masaa 2 tutaogea tu
Hahahahah kwahio unapenda simu over chatting kumbe, sema una story sasa? Sio unapigiwa baada ya salamu huna cha kuongea unabaki "poa","niko poa tu","hakuna jipya nipo tu","sina hata story" hapo kitachofata ni "mambo mengine vipi?" ukijibu nakukatia simu sitakagi kuongea na jitu halina bashasha mimi!
 
Back
Top Bottom