Hahahah that kind of chat is so boring maam! Ila nimegundua wabongo wengi hatujui kuchati yani sema inategemea pia na mtu unaechat nae ana respond vipi,,, kwa mfano mimi kama utakuwa open and active we will spend hours tukibadilishana texts ila ukiwa mtu wa kujiskilizia hata nusu saa hatutoboi ntaishiwa cha kusema ndio yatafata hayo maswali ya kindagateni!
Kama ni kwenye simu pia hivyo hivyo, i like making a woman smile and laugh hysterically from the way i talk to her, kama nachokiongea hakikufurahishi i will run out of words fasta sana yani story zitakata chap, ukianza kusikia "mambo mengine vipi" jua hapo tayari hamna shughuli tena!