king Musukuma
New Member
- Apr 20, 2018
- 2
- 1
Mkuu kwa hiyo user name naamini upo katika Mkoa wa MakondaUnatuaibisha wanaume mkuu... wanawake ndio wanatafutaga humu, emu nipiemu nikupe tusheni kwanza namna ya kumpata huyo mke bila kuja kujitangaza humu
Kwanini.. mimi n wa mkoani mkuuMkuu kwa hiyo user name naamini upo katika Mkoa wa Makonda
Basi sawa mkuu, wasalimie mkoani, mkoa gani?Kwanini.. mimi n wa mkoani mkuu
Jiji la katikati ya nchi hapa mkuuBasi sawa mkuu, wasalimie mkoani, mkoa gani?
Tuwasiliane kwa hii namba 0658142873Natafuta rafiki wa kiume umri kuanzia miaka 29 kuendelea awe anapenda kuchat awe ana nitafuta mara kwa mara
Kama hupendi kuchat usinitafute maana nahitaji rafiki wa kunitoa upweke
OkayNingekuja pm sema MIM nipo busy sana kutwa nzima natafuta PESA, labda kama utavumilia ?
Natafuta rafiki wa kiume umri kuanzia miaka 29 kuendelea awe anapenda kuchat awe ana nitafuta mara kwa mara
Kama hupendi kuchat usinitafute maana nahitaji rafiki wa kunitoa upweke
Mkuu wewe ni KE au ndo wale wanaopigiwa debe haki zao na US na EU?rafiki mimi apa umenipata[emoji4]
[emoji35] [emoji35]Mkuu wewe ni KE au ndo wale wanaopigiwa debe haki zao na US na EU?