king Musukuma
New Member
- Apr 20, 2018
- 2
- 1
mimi ni Mtanzania halisi natafuta rafiki wa kike amabapo Mungu akijalie nije kuish nae kama mke na mume. Napatkana Arusha
awe mcha Mungu asizid miaka 28 mengine yote tutajuana zaid kadiri muda utakavokua unakwenda
DM kwa mawasiliano zaid
awe mcha Mungu asizid miaka 28 mengine yote tutajuana zaid kadiri muda utakavokua unakwenda
DM kwa mawasiliano zaid