Natafuta rafiki wa kike

Natafuta rafiki wa kike

mimi ni Mtanzania halisi natafuta rafiki wa kike amabapo Mungu akijalie nije kuish nae kama mke na mume. Napatkana Arusha
awe mcha Mungu asizid miaka 28 mengine yote tutajuana zaid kadiri muda utakavokua unakwenda
DM kwa mawasiliano zaid
 
Unatuaibisha wanaume mkuu... wanawake ndio wanatafutaga humu, emu nipiemu nikupe tusheni kwanza namna ya kumpata huyo mke bila kuja kujitangaza humu
 
Natafuta rafiki wa kiume umri kuanzia miaka 29 kuendelea awe anapenda kuchat awe ana nitafuta mara kwa mara

Kama hupendi kuchat usinitafute maana nahitaji rafiki wa kunitoa upweke
Tuwasiliane kwa hii namba 0658142873
 
Hivi madada mkoje,mnajiona mko so special like mwanaume akutoe upweke,Je yeye atatolewa na nani?

Pambana na hali yako dada na hamna mwanaune mpumbavu kiasi hicho.Mmetendwa huko na sasa hivi unaona ngoja nitafte wa kunifariji........hao hao waliokutenda watakufariji
 
Kama haujampata, Mimi nipo hapa njoo pm tuanze kubirudishana.
Natafuta rafiki wa kiume umri kuanzia miaka 29 kuendelea awe anapenda kuchat awe ana nitafuta mara kwa mara

Kama hupendi kuchat usinitafute maana nahitaji rafiki wa kunitoa upweke
 
Natafuta rafiki wa kike wa kubadilishana naye mawazo hapa mji kasoro bahari. Muhimu awe mtu anayejiheshimu na kuheshimu wengine. Karibu pm.
 
Back
Top Bottom