Natafuta rafiki wa kike

Natafuta rafiki wa kike

Mgeni hakikisha taarifa unazotoa ziwe sahihi. Ili kurahisisha upatikanaji wako pale rafiki atakapojitokeza.
 
Natsfuta rafiki wa kike kwa ajili kuanzisha mahusiano ya dhati kati yetu katika shida na raha. Nipo dar kimsisha na sina mke.Awe mkweli na muaminifu. Tuwasiliane kwa namba 0754292989
 
Kujiunga Leo tu, nakutafuta mchumba any way, mtafutaji hachoki..
Screenshot_20190720-184018.jpeg
 
mzee inamaana mtaani kwenu hakuna msichana anae weza kuwa rafiki yako...? hadi utafute mtandao...?
 
Habarini , Mimi ni kijana Wa makamo natafuta rafiki Wa kike aliyepo Dom umri awe na 30 hadi 35 anipm ....wasaalam
 
Mm bado sijafikisha huo umri nimekosa nafasi
 
Mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 33. natafuta rafiki wa kiume wa umri wa kuanzia miaka 33 na kuendelea tukiridhiana twaweza kuwa wapenzi au kuweza kupata mtoto/watoto pamoja.

Asiwe na familia nikimaanisha mke, awe mcha Mungu, mchapakazi na awe na shughuli halali ya kumuingizia kipato. aliye tayari basi tuwasiliane
 
Kila la heri Mkuu

Vijana fursa hii msiiache ipite
 
Mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 33. natafuta rafiki wa kiume wa umri wa kuanzia miaka 33 na kuendelea tukiridhiana twaweza kuwa wapenzi au kuweza kupata mtoto/watoto pamoja.
Asiwe na familia nikimaanisha mke, awe mcha Mungu, mchapakazi na awe na shughuli halali ya kumuingizia kipato. aliye tayari basi tuwasiliane
[/QU
good luck
 
Wewe una kazi gani?
 
Back
Top Bottom