Natafuta rafiki wa kike

Natafuta rafiki wa kike

Naitwa kelton natafuta rafiki wa kike baadaye aje kua mkewangu,
Elimu yangu darasa la Saba, mjadiriamali mdogo,umri 31,mahali,nilipo dar . Sifa nimtakaye awe tyr kupima HIV,mwenye upendo wa kweli.
Kama upo tyr njoo pm tuyajenge ,
Wakizidi wengi naomba wengine unipatie,Please tusaidiane kwa hilo
 
Kama kichwa cha habari kisemavyo natafuta Rafiki wa kike awe Mkristu akiwa ameokoka itakuwa njema zaidi.Umri kati ya 25- 28 mi nipo na 26 tuwe tunasaidiana katika kumtafuta Mungu na Maisha kuijumla mazingira nayoishi ni ngumu kumpata na kwa upande wa kanisani nako wengi watu wazima.
 
Wewe unataka kulitumia jina la Mungu upate mzinzi mwenzako.

Hakuna rafiki mzuri kama aliyekuzidi umri ila wewe hao watu wazima unawakwepa na kuwakimbia.
We hujielewi kweli hasa nawezaje kuzini na mwanamke mwenzangu.Siko unavyodhani nahitaji tu kampani hasa ya wanawake wenzangu.
 
We hujielewi kweli hasa nawezaje kuzini na mwanamke mwenzangu.Siko unavyodhani nahitaji tu kampani hasa ya wanawake wenzangu.
Kwahiyo uzi wako umekuja na jinsia yako kwamba nitajua wewe ni KE.

Hao wanawake unaotaka si wako huko kanisani tena ambao wanaweza kuwa na hekima na busara za kukufundisha neno la Mungu na kukupa nasaha juu ya ujana wako.

Brother kuwa makini na wanawake.
 
Kama kichwa cha habari kisemavyo natafuta Rafiki wa kike awe Mkristu akiwa ameokoka itakuwa njema zaidi.Umri kati ya 25- 28 mi nipo na 26 tuwe tunasaidiana katika kumtafuta Mungu na Maisha kuijumla mazingira nayoishi ni ngumu kumpata na kwa upande wa kanisani nako wengi watu wazima.

Pole kwa upweke ukifikia kutafuta rafiki wa kiume mimi ntakuwa jirani na wew
 
Back
Top Bottom