Wong Fei
JF-Expert Member
- Apr 13, 2016
- 5,083
- 6,872
Kila mtu ana vigezo vyake sikatai lakini ukumbuke mume atafutwi kama unavyofikiria. Ukumbuke kadri umri unavyosonga ndivyo thamani yako kama mwanamke inapungua. Una 33 unafikiri kijana mwenye miaka 33 au 35 aoe mwanamke mwenye miaka 33? Inawezekana ila kwa asilimia ndogo sana. 33 au 35 mwenye kazi atachukua mwenye 29 kushuka chini. Tofauti na hapo atakuwa marioo. 35 wanaume wengi wameoa. Ukikutana naye ujue ameacha na mke wakeNadhani si kitu kibaya kuweza kuwa na shughuli halali ya kujikimu. ni hivyo tu, aweze kujikimu yeye kama yeye
Kwa ushauri, beba yoyote mwenye nia ya dhati ya ndoa halafu mambo ya kazi mtashauriana mfanye nini mpate hela. Huu ni mwezi wa 8 bado miezi 4 mwaka uishe na utakuwa umefikisha 34. Kwa hali yako utajikuta umefikisha miaka 40 kimchezo mchezo.