dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 23,901
- 58,103
๐ ๐ ๐ ๐ ๐hasa kwenye hiki kipindi cha mpito
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
๐ ๐ ๐ ๐ ๐hasa kwenye hiki kipindi cha mpito
Mmmh[emoji848] shangazi!!Ninachotaka ye hana sasa
hapana, ntalazimika nibadili jina ibaki 'drone' au 'drake' pekee,Mimi nataka unipe yoteyote
Kama kichwa cha habari kisemavyo natafuta Rafiki wa kike awe Mkristu akiwa ameokoka itakuwa njema zaidi.Umri kati ya 25- 28 mi nipo na 26 tuwe tunasaidiana katika kumtafuta Mungu na Maisha kuijumla mazingira nayoishi ni ngumu kumpata na kwa upande wa kanisani nako wengi watu wazima.
We cheka tu, btw hivi unafanyaje kuquote kipande kidogo kwenye post?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Basi bwana kama hutakihapana, ntalazimika nibadili jina ibaki 'drone' au 'drake' pekee,
lile sharti ni simple sana, na hakuna betri itakayochomolewa
Niambie mpwaMmmh[emoji848] shangazi!!
natumia PC, kwa simu ( firefox browser inakubali just tried it now)kuquote kipande kidogo kwenye post?
Ooh ahsantenatumia PC, kwa simu sijui
na highlight maneno (sentensi) ya ku quote, then prompt inakuja ikinitaka ni a. quote au b. reply
๐ ๐ misaada kama hii sawa, natoa, sio ile nyingineOoh ahsante
[emoji23][emoji23][emoji23] tabia mbaya acha uchoyo[emoji16] [emoji16] misaada kama hii sawa, natoa, sio ile nyingine
Hata chrome pia inafanya hivyonatumia PC, kwa simu ( firefox browser inakubali just tried it now)
na highlight maneno (sentensi) ya ku quote, then prompt inakuja ikinitaka ni a. quote au b. reply
Nataka tuanze kuhubiri injili mtaani so nahitaji kampani kwa kweli.Mnataka mfungue kanisa mkuu
Mimi hapa nipo tayariiii ila mimi hapa nimwanaumeNataka tuanze kuhubiri injili mtaani so nahitaji kampani kwa kweli.
Mtu wa jamaika huyo, anataka mama wa kumtunza.Umri huu umenikosesha rafiki
Hahahahahahahaha kumbeeMtu wa jamaika huyo, anataka mama wa kumtunza.
Si unajua marasta wa arusha walivyo wapenda kutunzwa. Hapo keshapiga misokoto yake kadhaa na yupo sehemu katega wamama wa kizungu anaona hanasi, basi anajilipua hapa jf!
let us be friends..Umri huu umenikosesha rafiki