Pennsylvania
JF-Expert Member
- Sep 25, 2019
- 335
- 503
Thanks for the input.Join a jogging club..utapata wengi tu..kuhusu mipaka utaamua mwenyewe!
Would try to.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Thanks for the input.Join a jogging club..utapata wengi tu..kuhusu mipaka utaamua mwenyewe!
About gender I've updated on my first post.Jinsia yako please....na location as well.....
Nitakutafuta.Hapa niko,
Hope utanifunza ku meditate maana hii kitu nimeitamani kwa muda sasa.
Hutokwenda kuchimba chumvi huko unakwenda kuchimba mavi.😂Pm me please.
I concur with you.Mara chache saana Mwanaumwe kutafuta rafiki wa kiume!!
Men we most to think twice
Gia zipi hizo?Huu urafiki mwisho wa siku hauna mwisho mwema. Nlipataga mmoja baada ya mda akaingizia gia zingine nikamblokia mbali
Za urafiki, maana sidhani kama tutakuwa na mambo mengi saana ya kujadiliani kila siku kama marafikiGia zipi hizo?
Ni Fosbury flop ( Type of High jump).Flosbury flops ndo nini?
Bila ya shaka kakusudia Fosbury flop.Flosbury flops ndo nini?
Unajua kwanini nimeweka hobbies?Za urafiki, maana sidhani kama tutakuwa na mambo mengi saana ya kujadiliani kila siku kama marafiki
hizo hobbies kama mi nina mishe za kunifanya bize tutashare sangapi??Unajua kwanini nimeweka hobbies?
Bila kuwa na compartible things, friendship have one way to go and that is DEMISE.
Habari humu ndani.
Nisiwe msemaji sana ukizingatia sio mwanasiasa.
Natafuta rafiki wa kiume.
Kwauchache nina upenzi na vitu kama ifuatavyo.
Vitabu ( Novels- laws, espionage, non-fiction, science fiction)
Meditation, Jogging, Gardening, Fosbury flops, Skiing, Travel and swimming.
Strictly man friend not otherwise.
Waiting for response.
PS: My gender is MALE.