Natafuta rafiki wa kike

Natafuta rafiki wa kike

Nadhani si kitu kibaya kuweza kuwa na shughuli halali ya kujikimu. ni hivyo tu, aweze kujikimu yeye kama yeye
Kila mtu ana vigezo vyake sikatai lakini ukumbuke mume atafutwi kama unavyofikiria. Ukumbuke kadri umri unavyosonga ndivyo thamani yako kama mwanamke inapungua. Una 33 unafikiri kijana mwenye miaka 33 au 35 aoe mwanamke mwenye miaka 33? Inawezekana ila kwa asilimia ndogo sana. 33 au 35 mwenye kazi atachukua mwenye 29 kushuka chini. Tofauti na hapo atakuwa marioo. 35 wanaume wengi wameoa. Ukikutana naye ujue ameacha na mke wake
Kwa ushauri, beba yoyote mwenye nia ya dhati ya ndoa halafu mambo ya kazi mtashauriana mfanye nini mpate hela. Huu ni mwezi wa 8 bado miezi 4 mwaka uishe na utakuwa umefikisha 34. Kwa hali yako utajikuta umefikisha miaka 40 kimchezo mchezo.
 
Mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 33. natafuta rafiki wa kiume wa umri wa kuanzia miaka 33 na kuendelea tukiridhiana twaweza kuwa wapenzi au kuweza kupata mtoto/watoto pamoja.
Asiwe na familia nikimaanisha mke, awe mcha Mungu, mchapakazi na awe na shughuli halali ya kumuingizia kipato. aliye tayari basi tuwasiliane
Shoti endi klia
 
Kila mtu ana vigezo vyake sikatai lakini ukumbuke mume atafutwi kama unavyofikiria. Ukumbuke kadri umri unavyosonga ndivyo thamani yako kama mwanamke inapungua. Una 33 unafikiri kijana mwenye miaka 33 au 35 aoe mwanamke mwenye miaka 33? Inawezekana ila kwa asilimia ndogo sana. 33 au 35 mwenye kazi atachukua mwenye 29 kushuka chini. Tofauti na hapo atakuwa marioo. 35 wanaume wengi wameoa. Ukikutana naye ujue ameacha na mke wake
Kwa ushauri, beba yoyote mwenye nia ya dhati ya ndoa halafu mambo ya kazi mtashauriana mfanye nini mpate hela. Huu ni mwezi wa 8 bado miezi 4 mwaka uishe na utakuwa umefikisha 34. Kwa hali yako utajikuta umefikisha miaka 40 kimchezo mchezo.
Thank you kwa ushauri mzuri nimekuelewa vema. Ubarikiwe
 
Mwanamke unaanzaje kutafta mpenzi mtandaoni. Kumaanisha uwa utongozwi ata live..
 
Kila mtu ana vigezo vyake sikatai lakini ukumbuke mume atafutwi kama unavyofikiria. Ukumbuke kadri umri unavyosonga ndivyo thamani yako kama mwanamke inapungua. Una 33 unafikiri kijana mwenye miaka 33 au 35 aoe mwanamke mwenye miaka 33? Inawezekana ila kwa asilimia ndogo sana. 33 au 35 mwenye kazi atachukua mwenye 29 kushuka chini. Tofauti na hapo atakuwa marioo. 35 wanaume wengi wameoa. Ukikutana naye ujue ameacha na mke wake
Kwa ushauri, beba yoyote mwenye nia ya dhati ya ndoa halafu mambo ya kazi mtashauriana mfanye nini mpate hela. Huu ni mwezi wa 8 bado miezi 4 mwaka uishe na utakuwa umefikisha 34. Kwa hali yako utajikuta umefikisha miaka 40 kimchezo mchezo.

Inaeekea una uzoefu sana na mambo ya mahusiano na umri.
 
Naitwa kelton natafuta rafiki wa kike baadaye aje kua mkewangu,
Elimu yangu darasa la Saba, mjadiriamali mdogo,umri 31,mahali,nilipo dar . Sifa nimtakaye awe tyr kupima HIV,mwenye upendo wa kweli.
Kama upo tyr njoo pm tuyajenge ,
 
Back
Top Bottom