Wakizidi wengi naomba wengine unipatie,Please tusaidiane kwa hiloNaitwa kelton natafuta rafiki wa kike baadaye aje kua mkewangu,
Elimu yangu darasa la Saba, mjadiriamali mdogo,umri 31,mahali,nilipo dar . Sifa nimtakaye awe tyr kupima HIV,mwenye upendo wa kweli.
Kama upo tyr njoo pm tuyajenge ,
π π π π πWewe unataka kulitumia jina la Mungu upate mzinzi mwenzako.
Hakuna rafiki mzuri kama aliyekuzidi umri ila wewe hao watu wazima unawakwepa na kuwakimbia.
We hujielewi kweli hasa nawezaje kuzini na mwanamke mwenzangu.Siko unavyodhani nahitaji tu kampani hasa ya wanawake wenzangu.Wewe unataka kulitumia jina la Mungu upate mzinzi mwenzako.
Hakuna rafiki mzuri kama aliyekuzidi umri ila wewe hao watu wazima unawakwepa na kuwakimbia.
Ina maana ndio umeninyima kabisa?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
aisee nanusa harufu ya USAGAJI hapakampani hasa ya wanawake wenzangu.
π π π π πIna maana ndio umeninyima kabisa?
Kwahiyo uzi wako umekuja na jinsia yako kwamba nitajua wewe ni KE.We hujielewi kweli hasa nawezaje kuzini na mwanamke mwenzangu.Siko unavyodhani nahitaji tu kampani hasa ya wanawake wenzangu.
Kwamba mleta mada ana kampuni ya kusaga nafaka na anataka kupitia huo urafiki aweze kupata mfanyakazi?!!aisee nanusa harufu ya USAGAJI hapa
π π π πKwamba mleta mada ana kampuni ya kusaga nafaka na anataka kupitia huo urafiki aweze kupata mfanyakazi?!!
Kama kichwa cha habari kisemavyo natafuta Rafiki wa kike awe Mkristu akiwa ameokoka itakuwa njema zaidi.Umri kati ya 25- 28 mi nipo na 26 tuwe tunasaidiana katika kumtafuta Mungu na Maisha kuijumla mazingira nayoishi ni ngumu kumpata na kwa upande wa kanisani nako wengi watu wazima.
Ninachotaka ye hana sasa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
mcheki mysara anatafuta rafiki wa kike
nakuazima ile ya pili kwa mda, fanya urafiki na mysara alaf alete mrejeshoNinachotaka ye hana sasa
Mimi nataka unipe yoteyote, sharti lako halitekelezeki bwana hasa kwenye hiki kipindi cha mpitonakuazima ile ya pili kwa mda, fanya urafiki na mysara alaf alete mrejesho
ku kasharti nilikupa ila naona halijatimizwa bado