Natafuta rafiki wa kike

Natafuta rafiki wa kike

.
tapatalk_1577093906393.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama kichwa cha habari hapo juu kinavojieleza.

SIFA

1. Umri kati ya 30 - 38 only
2. Awe amefika chuo kikuu au college
3. Asiwe mtu mwongo, asiwe mtu serious sana (easy taker)
4. Awe gentle na mcheshi
5. Asiwe ameajiriwa namaanisha awe mtafutaji wa hapa na pale, zaidi awe mkulima mzoefu
6. Awe mrefu kiasi, mweusi mwenye kujua kumuenzi mwanamke ila asiwe mtu wa ngono sana. Awe mvumilivu na msikilizaji zaidi.
7. Awe na mtoto mmoja au wawili tu; asiwe ameoa ila awe ni mtu anayehudumia familia yake (ya mama na watoto wake mwenyewe)
8. Awe msafi wa nguo, mwili na mwenye kujipenda.
9. Asiwe mnywaji wa pombe.
10. ASIWE MHAYA au MZAWA WA MOROGORO, TANGA (mtanisamehe).

Mwisho kabisa awe mtu mwenye juhudi na maono makubwa na mwenye kusimamia maamuzi yake.

ASANTENI WANA JF.
 
Back
Top Bottom