Beeb
JF-Expert Member
- Aug 18, 2018
- 29,394
- 59,069
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi nasubiri itafika tu siku utasema "aje tu yeyote almradi ni jinsia me".
Mimi sifa zote ninazo,Mimi ninahitaji sifa moja tu toka kwako.
1:Bikra.
Over.
Kama IPO nichek PM
Sent using Jamii Forums mobile app
Kijana na wew umepotelea kwenye kula tunda kimasihara!!😂
anazingua[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji1787] jf mtaniua [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mistk kicheka buana
Acha na mm nikupe zanguKama kichwa cha habari hapo juu kinavojieleza.
SIFA
1. Umri kati ya 30 - 38 only
2. Awe amefika chuo kikuu au college
3. Asiwe mtu mwongo, asiwe mtu serious sana (easy taker)
4. Awe gentle na mcheshi
5. Asiwe ameajiriwa namaanisha awe mtafutaji wa hapa na pale, zaidi awe mkulima mzoefu
6. Awe mrefu kiasi, mweusi mwenye kujua kumuenzi mwanamke ila asiwe mtu wa ngono sana. Awe mvumilivu na msikilizaji zaidi.
7. Awe na mtoto mmoja au wawili tu; asiwe ameoa ila awe ni mtu anayehudumia familia yake (ya mama na watoto wake mwenyewe)
8. Awe msafi wa nguo, mwili na mwenye kujipenda.
9. Asiwe mnywaji wa pombe.
10. ASIWE MHAYA au MZAWA WA MOROGORO, TANGA (mtanisamehe).
Mwisho kabisa awe mtu mwenye juhudi na maono makubwa na mwenye kusimamia maamuzi yake.
ASANTENI WANA JF.
Nimecheka saaaaaana mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbona sifa zako hujaweka au unafikiri sisi wanaune ni zoa zoa tu