Natafuta rafiki wa kike

Natafuta rafiki wa kike

Sifa zooote ninazo ila hiyo ya ngono ngumu kidogo!! Napenda ngono kuliko kula!!

[emoji23][emoji23]
 
Wewe ni fungu la kukosa! Yaani hututaki waajiriwa, hutaki watu kutoka Tanga mapenzi yalikozaliwa, unataka watu weusi! Sasa si uende Sudan Kusini?
 
Yaani unatafuta tu rafiki wa kiume lakini umeweka masharti lukuki! Si unyooshe maelezo kama unatafuta dudu!!
 
Rafiki gani uta mpata kwa vigezo vingi namna hiyo malaika wenyewe so wakamilifu sembuse binadamu loh!
 
Safi sana.

Tafiti zinaonesha aina hii ya wanaume wanapatikana hollywood tu.
Kama kichwa cha habari hapo juu kinavojieleza.

SIFA

1. Umri kati ya 30 - 38 only
2. Awe amefika chuo kikuu au college
3. Asiwe mtu mwongo, asiwe mtu serious sana (easy taker)
4. Awe gentle na mcheshi
5. Asiwe ameajiriwa namaanisha awe mtafutaji wa hapa na pale, zaidi awe mkulima mzoefu
6. Awe mrefu kiasi, mweusi mwenye kujua kumuenzi mwanamke ila asiwe mtu wa ngono sana. Awe mvumilivu na msikilizaji zaidi.
7. Awe na mtoto mmoja au wawili tu; asiwe ameoa ila awe ni mtu anayehudumia familia yake (ya mama na watoto wake mwenyewe)
8. Awe msafi wa nguo, mwili na mwenye kujipenda.
9. Asiwe mnywaji wa pombe.
10. ASIWE MHAYA au MZAWA WA MOROGORO, TANGA (mtanisamehe).

Mwisho kabisa awe mtu mwenye juhudi na maono makubwa na mwenye kusimamia maamuzi yake.

ASANTENI WANA JF.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama unahitaji rafiki njo pm hizo sifa zote ninazo ila kama unahitaji mpenzi mi hapana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vigezo vyote hivo huja weka CV yako unamaanisha nini

Back
Top Bottom