kilambimkwidu
JF-Expert Member
- Jul 21, 2017
- 6,097
- 7,199
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaka zako hizo sifa wanazo..??Kama kichwa cha habari hapo juu kinavojieleza.
SIFA
1. Umri kati ya 30 - 38 only
2. Awe amefika chuo kikuu au college
3. Asiwe mtu mwongo, asiwe mtu serious sana (easy taker)
4. Awe gentle na mcheshi
5. Asiwe ameajiriwa namaanisha awe mtafutaji wa hapa na pale, zaidi awe mkulima mzoefu
6. Awe mrefu kiasi, mweusi mwenye kujua kumuenzi mwanamke ila asiwe mtu wa ngono sana. Awe mvumilivu na msikilizaji zaidi.
7. Awe na mtoto mmoja au wawili tu; asiwe ameoa ila awe ni mtu anayehudumia familia yake (ya mama na watoto wake mwenyewe)
8. Awe msafi wa nguo, mwili na mwenye kujipenda.
9. Asiwe mnywaji wa pombe.
10. ASIWE MHAYA au MZAWA WA MOROGORO, TANGA (mtanisamehe).
Mwisho kabisa awe mtu mwenye juhudi na maono makubwa na mwenye kusimamia maamuzi yake.
ASANTENI WANA JF.
Kama kichwa cha habari hapo juu kinavojieleza.

Unapatikana wapi Nije kwenye interview maana vigezo vyote ninayoKama kichwa cha habari hapo juu kinavojieleza.
SIFA
1. Umri kati ya 30 - 38 only
2. Awe amefika chuo kikuu au college
3. Asiwe mtu mwongo, asiwe mtu serious sana (easy taker)
4. Awe gentle na mcheshi
5. Asiwe ameajiriwa namaanisha awe mtafutaji wa hapa na pale, zaidi awe mkulima mzoefu
6. Awe mrefu kiasi, mweusi mwenye kujua kumuenzi mwanamke ila asiwe mtu wa ngono sana. Awe mvumilivu na msikilizaji zaidi.
7. Awe na mtoto mmoja au wawili tu; asiwe ameoa ila awe ni mtu anayehudumia familia yake (ya mama na watoto wake mwenyewe)
8. Awe msafi wa nguo, mwili na mwenye kujipenda.
9. Asiwe mnywaji wa pombe.
10. ASIWE MHAYA au MZAWA WA MOROGORO, TANGA (mtanisamehe).
Mwisho kabisa awe mtu mwenye juhudi na maono makubwa na mwenye kusimamia maamuzi yake.
ASANTENI WANA JF.
Jamani hivi upo! NimekumissUnapatikana wapi Nije kwenye interview maana vigezo vyote ninayo
Sent from my TECNO CX Air using Tapatalk
Hahaha walikufanya nn[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jina lko tu nisinge kupokea sipendi ma Emma.
Na huyu bwanako kaishia wapi?
Simwelewi
Mwanaume wangu amekua akiniimbia kuniolea mke mdogo eti mara oooh nataka kuzaa mtoto mwingne ili walingane nahuyu wamienzi miwili mara hoo sijui iliakusaidie anayumba yumba simwelewi na mara nying amekua akinitajia maex zake licha yakuto kujiona ni mzee sasa.Nikimpa ruksa yakuchepuka anakasirika...www.jamiiforums.com
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂😂😂Mbona sifa zako hujaweka au unafikiri sisi wanaune ni zoa zoa tu