Sukari Yenu
JF-Expert Member
- Dec 8, 2014
- 1,698
- 1,257
Na huyu bwanako kaishia wapi?
www.jamiiforums.com
Sent using Jamii Forums mobile app
Simwelewi
Mwanaume wangu amekua akiniimbia kuniolea mke mdogo eti mara oooh nataka kuzaa mtoto mwingne ili walingane nahuyu wamienzi miwili mara hoo sijui iliakusaidie anayumba yumba simwelewi na mara nying amekua akinitajia maex zake licha yakuto kujiona ni mzee sasa.Nikimpa ruksa yakuchepuka anakasirika...
Sent using Jamii Forums mobile app