Natafuta rafiki wa kike

Kaka zako hizo sifa wanazo..??

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Vijana ndo muda wenu wa kujimwambafai hapo, bibie kafunguka inaoneka yeye ni white dingo matha, kama ningekuwa na uwezo wa kureverse umri
 
Unapatikana wapi Nije kwenye interview maana vigezo vyote ninayo

Sent from my TECNO CX Air using Tapatalk
 
wafukua makaburi
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah...namba 3 na 8 nimefeli... Dah ,[emoji41]

Sent using Beretta ARX 160
 
Kama upo free twende tukaogelee,live band or movie ,kanisani,as you wish katika hayo bagamoyo .
Uwe muhenga
Uwe na constructive ideas,kibiashara,kiuchumi kiafya,politics no
Uwe single but unaweza kuja na mpenzi wako
Mwisho wa maombi Ni saa kumi because with or without you I am going to bagamoyo
Wasifu wangu
Mnenee
Singleee
Muhengaaa

Malipo hela ninayo lakini tutajua cha kufanya sinywi pombe Wala nini sina gharama hata ,itakuwa Ni win win situation





Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…