Entreprenuare
JF-Expert Member
- Aug 24, 2019
- 1,616
- 1,727
umekanyaga mwiba mzee?
Hahahaaaaa!Hamna discount ya kuondolewa baadhi ya vigezo!? Hata ofa ya sikukuu?
Sifa yake ni KeMbona sifa zako hujaweka au unafikiri sisi wanaune ni zoa zoa tu
Nasubiri anijibu🤣🤣
Kama upo serious njoo pm. Mtu pozi mtu pesa. Hakuna mbaya duniani.Picha pls
Sitojali kama tutakuwa na tofauti ndogo ya umri kati yangu na ww. Miaka yangu ni 28. Either nikuzidi kidogo au nikuzidi kidigo sioni tatizo kwangu.
Umri wangu miaka 28. Sitojali kama tutakuwa tumepisha umri kwa miaka michache. Either nimekuzid au umenizidi. Sitojali sana.Umri wowote?