Natafuta rafiki wa kike

Natafuta rafiki wa kike

Rejea title tajwa natafuta rafiki wa kike mwenye umri chini ya miaka 25.

Sifa Mahususi.

1. Awe mwenye kujielewa na kupenda kusoma, kusali na mwenye hofu ya Mungu sawa na mimi nilivo.

2. Awe tiyali kupata attention ya kutosha kutoka kwangu (Namanisha awe mpend kutoa taarifa na kuwasiliana mara kwa mara ikiwezekana mpenda kuchati, ,Mchangamfu, Humble sawa na mimi nilivo)

3. Awe na goals sio kuja kukaa na mimi kwa sekunde mbili na kuondoka.

4. Akiwa dar itapendeza.

Karibu PM yangu kwa mawasiliano zaidi.
 
Mkuu siku hizi watu wako busy na maisha wewe unataka anaependa kuchat hahaha labda awe mwanafunzi

Sent from my INFINIX using JamiiForums mobile app
 
Natafuta rafiki wa kike (Girl friend)
Vigezo muhimu:
1. Mwenye upendo wa dhati (siyo fedha / vitu)
2. Mcha Mungu (Kahaba hapana)
3. Mwonekano mzuri wa umbo (Chura), usoni / reception, rangi yoyote.
4. Asiwe mvuta sigara
5. Utumiaji pombe wa kiasi (asiwe mlevi)
6. Awe tayari kupima afya.
7. Umri miaka kati ya 20 -30.
8. Awe na kazi yoyote halali (siyo ya bar amid - bamedi). Kiwango cha elimu siyo hoja.
9. Awe anaishi mkoa wa Dar Es Salaam

Nitumie ujumbe kupitia PM, Karibu 🙂.
Should you need translation, please contact me via PM. Thanks
 
Back
Top Bottom