rehema shabani
JF-Expert Member
- Aug 31, 2018
- 216
- 91
kwahiyo wewe ni rafiki wa uongo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rafiki wa kike,wa kiume?awe mkweli, anayejiamini, msafi wa akili , mwili na roho , mcha mungu, mwenye upendo wa kweli.....................
Stop wasting time.[emoji126][emoji126][emoji126]
[emoji23] [emoji23] yes sirStop wasting time.
Mkuu siku hizi watu wako busy na maisha wewe unataka anaependa kuchat hahaha labda awe mwanafunziRejea title tajwa natafuta rafiki wa kike mwenye umri chini ya miaka 25.
Sifa Mahususi.
1. Awe mwenye kujielewa na kupenda kusoma, kusali na mwenye hofu ya Mungu sawa na mimi nilivo.
2. Awe tiyali kupata attention ya kutosha kutoka kwangu (Namanisha awe mpend kutoa taarifa na kuwasiliana mara kwa mara ikiwezekana mpenda kuchati, ,Mchangamfu, Humble sawa na mimi nilivo)
3. Awe na goals sio kuja kukaa na mimi kwa sekunde mbili na kuondoka.
4. Akiwa dar itapendeza.
Karibu PM yangu kwa mawasiliano zaidi.
Sometimes loniless inapunguzwa na kuchatMkuu siku hizi watu wako busy na maisha wewe unataka anaependa kuchat hahaha labda awe mwanafunzi
Sent from my INFINIX using JamiiForums mobile app