Natafuta rafiki wa kike

Natafuta rafiki wa kike

Humu..humu jf kabisaa...¡¡¡

,,Nenda hata kwa viongozi wa dini yako ukaelezee shida yako..
,,,Achana na mitandao ..swala la ndoa ni nyeti mno

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Humu..humu jf kabisaa...¡¡¡

,,Nenda hata kwa viongozi wa dini yako ukaelezee shida yako..
,,,Achana na mitandao ..swala la ndoa ni nyeti mno

Sent using Jamii Forums mobile app
nin
Suala la ndoa siyo kiongozi wa dini wala kiongozi wa jamiii, ni utayari wa wanandoa wenyewe mkuu. Kwani hizo ndoa zinazovunjika hazikufungishwa na viongozi wa dini?? Au zilifungwa na mitandao ya kijamii. Kuna watu wenye social media wako safi kuliko hata hao wanaoshinda makanisani au misikitini...
 
Back
Top Bottom