Natafuta rafiki wa kike

Natafuta rafiki wa kike

Aya inayosema Usiikurubie Zinaa. Sasa huo urafiki wa mwanamke na mwanaume ni kuikaribia zinaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuwa rafiki na mwanamke siyo kukaribisha zinaa! Achana na ujinga wa wakina muddy na allan! [emoji23]
Ndiyo maana mnavalisha hijab wanawake zenu wasiwe marafiki wakati wanakanyagwa na mishungi yao, ndani chupi hawavai.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hehehehe watu wanatoa namba tu...nakushauri upitie nyuzi zinazohusu wadada wenye watoto humu kabla hujaanza kuingia huo urafiki na wababa wa humu
 
Mimi ni mama wa miaka 33 na nimejaaliwa watoto wawili, niliolewa bahati mbaya ndoa imevunjika kwasababu zilizo nje ya uwezo wetu.

Sasa nipo nalea wanangu na alhamdulillah najimudu kiasi financially. Ila kama ijulikanavyo huwezi shindana na nature, nikiwa kama mwanamke kuna wakati unamuhitaji mwanaume na siwezi fanya hivyo kwani uzinzi ni dhambi na namuomba Mungu aendelee kuniepusha na hilo.

Hivyo kwa Uzi huu nahitaji marafiki Wa kiume (naprefer kuanzia kwenye urafiki ili kuona compatibility) haswa aliyefiwa na mkewe, au divorced ambaye yeye si sababu ya uvunjifu Wa ndoa yake, au mwenye mtoto/watoto tayari, au yeyote ambaye ni father figure. Umri kuanzia 33 - 45 yrs.

Note: naprefer a responsible family man. If u think u hv the credentials pls pm me, jokes aside pls.
Mimi mkristo nitakuoa na kulea watoto wako watasoma shule nzuri. Pesa ninayo yakusomesha watoto wako nje ya nchi, Lakini badilisha dini uwe mkristo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hehehehe watu wanatoa namba tu...nakushauri upitie nyuzi zinazohusu wadada wenye watoto humu kabla hujaanza kuingia huo urafiki na wababa wa humu
Soma vizuri bandiko lake amesema anatafuta rafiki mwanaume mtu mzima na si vivulana vinavyowaponda single mothers, case study Mzee Malecela na Anne Kilango na Msekwa na Anna Abdalla, every woman need a Men

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi ni mama wa miaka 33 na nimejaaliwa watoto wawili, niliolewa bahati mbaya ndoa imevunjika kwasababu zilizo nje ya uwezo wetu.

Sasa nipo nalea wanangu na alhamdulillah najimudu kiasi financially. Ila kama ijulikanavyo huwezi shindana na nature, nikiwa kama mwanamke kuna wakati unamuhitaji mwanaume na siwezi fanya hivyo kwani uzinzi ni dhambi na namuomba Mungu aendelee kuniepusha na hilo.

Hivyo kwa Uzi huu nahitaji marafiki Wa kiume (naprefer kuanzia kwenye urafiki ili kuona compatibility) haswa aliyefiwa na mkewe, au divorced ambaye yeye si sababu ya uvunjifu Wa ndoa yake, au mwenye mtoto/watoto tayari, au yeyote ambaye ni father figure. Umri kuanzia 33 - 45 yrs.

Note: naprefer a responsible family man. If u think u hv the credentials pls pm me, jokes aside pls.
Mimi nahisi wewe umeachwa sababu unakaushangingi. Inawezekana mume kakimbia sababu huridhiki na mapigo yake. Tuambie ukweli tujue kama wewe ni sex addict, maana mko wengi sikuizi na hamtoshekwi. Chukua mkristo hatokwenda kuowa mijanamke mingi ambayo waislamu wanashindwa kuwatosheleza na vibamia vyao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom