Natafuta rafiki wa kike

Natafuta rafiki wa kike

Hapo ndo wasichana huwa mnabugi Sana ,Yan unatoa mlolooogo wa vigezo na mashart ,utadhani we level hizo unazo,


Haya unataka huyo m2 kwann usiende College ukawatafute Huko au University



Shortly ni kwamba kumpata m2 wa aina hiyo ni ngumu sana dada angu,pambana tu huko kitaan kwenu unaweza kubahatisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom