Natafuta rafiki wa kike

Natafuta rafiki wa kike

Corona inafanya nkukose... kazi nmesimamishwa, kwahiyo sijajiajiri wala kuajiriwa. Ila PM yangu iko wazi
 
Kama ilivyo kwenye mapenzi unaweza ukapata mpenzi ambae huendani nae, ndo hivyohivyo katika urafik unaweza kupata rafik usieendana nae
Urafik wa kweli huwa unaanza tu tena hata huwezi kukumbuka ni lini urafik wenu ulianza.

Kila la kheri

Sent using Gun Trigger
 
Hello

Natafuta rafiki wa kike wa kubadilishana nae mawazo. Mimi ni kijana miaka 26 kwa umri nimeajiriwa katika sekta binafsi naishi DSM.

Awe mkazi wa DSM, Umri usiozidi miaka 28, Elimu kuanziaKkidato cha Sita.

Karibuni PM🙂
 
Mkuu hebu nenda direct kua unatafuta manzi, kama marafiki wa kike kuna uliosoma nao kuanzia msingi mpaka level uliyopo, kuna kazini na majirani, acha wale mnaokutana nao kwenye events mbalimbali.
 
Mkuu hebu nenda direct kua unatafuta manzi, kama marafiki wa kike kuna uliosoma nao kuanzia msingi mpaka level uliyopo, kuna kazini na majirani, acha wale mnaokutana nao kwenye events mbalimbali.
Hao wote nishawazoea, nahitaji changamoto mpya
 
Back
Top Bottom