Natafuta rafiki wa kike..

Natafuta rafiki wa kike..

Surya

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2015
Posts
8,774
Reaction score
13,566
Mimi ni kijana.. mchangamfu na mcheshi.
Umri wangu miaka 26
Mshahara wangu kwa mwezi ni laki 4.
Natafuta rafiki wa kike,
Comment vizuri nikufate PM
Vidume wajuzi mtanisaidia nipate rafik mchangamfu.

Weekend ya leo Nipo kinyonge sana.
 
Mshahara wako na urafiki vina uhusiano gani.?
Kwa urafiki wa mwanamke na mwanaume kama anaotaka Mtoa mada vina uhusiano.

Mabinti siku hizi wanauliza, unajishughulisha na nini? Wanataka kupima kiwango cha vizinga unachostahili.

Kwa lugha nyepesi, mtoa uzi kaweka kila jambo bayana. Huyo rafiki asije kumpiga vya zaidi ya 30k monthly.
 
Urafiki wa mwanamke na mwanaume kama anaotaka Mtoa mada vina uhusiano.

Mabinti siku hizi wanauliza, unajishughulisha na nini? Wanataka kupima kiwango cha vizinga unachostahili.

Kwa lugha nyepesi, mtoa uzi kaweka kila jambo bayana. Huyo rafiki asije kumpiga vya zaidi ya 30k monthly.
Exactly, bora alivyo sema tungeingia mkenge.
 
Haya marafiki wa kike mnaohitaji laki 4, mkimbie kuja huku fursaa imewaangukiaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
sio fursa bhana, ni kusidiana maisha.
 
Back
Top Bottom