National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,177
- 56,121
Chagua moja kati ya haya 😅😅Mi Diana silipendi limekaa kindez kweli🙄🙄
1. Delilah
2. Dalary
3. Daenerys
4. Dayleen
5. Danielle
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chagua moja kati ya haya 😅😅Mi Diana silipendi limekaa kindez kweli🙄🙄
Unanifahamu? Why uyole?...nilianza kukupenda juzi saa 8 mchanaUlikuwa unanipenda kimoyo moyo?
Hujawahi sema kabisa
Zna kutolea hazipo 😀😀 hii ndio sababu kubwa ya kutopata ndio nimeijua acha niwe mpolee tu, ipo siku kuna mtoto wa watu atanionea huruma anitwaeAnza na ya kutolea...mmezidi kukunja
Au umeoenda jina Uyole?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Unanifahamu? Why uyole?...nilianza kukupenda juzi saa 8 mchana
Na magimbi yatafutiwe jf???ila nyie ufike London uanze kutafuta magimbi [emoji41][emoji41]
Yeah,nikajua nimepata jirani aiseeAu umeoenda jina Uyole?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ha ha haaNa magimbi yatafutiwe jf???
Ninwakubali wanyaki tu[emoji23][emoji23]Yeah,nikajua nimepata jirani aisee
😂 😂nimeogopa aiseeHakutakii mema huyo
Sisi usipokuwa na hela tunakuona kibwengo ndani ya Nyumba... Ukiwa nazo tutaishi kama tupo jerusalemuNinwakubali wanyaki tu[emoji23][emoji23]
😂😂sema kweli?Jiite Dumaz
Unanitenga sana, utafanya niibiwe
Umehisi nini mkuu, kwenye hii ID mpya?London ya Uyole haha.
Ukiwa London huhitajiki kutafuta mchumba kupitia jf wala restaurand.
Kila kitu unamuuliza bibi yetu google.
Hii id ina shabaha mahsusi muda si mrefu jipu litapasuka
Kuandaa mafuta ya K-jelly au figo kutolewaUmehisi nini mkuu, kwenye hii ID mpya?
Id ni mpya sana.Umehisi nini mkuu, kwenye hii ID mpya?
Kweli[emoji23][emoji23]sema kweli?