CAPO DELGADO
JF-Expert Member
- Aug 31, 2020
- 12,134
- 27,519
Sawa mkuu.Mtumba ambao haujavaliwa? Hii ni mupya hii ni mupya kabisa. Mzee baba hakuna mtumba ambao haujatumika.
Ni kizuri mno hata bei yake ilikuwa kubwa sana.Kizuri
Kujaribu sio kushindwa mkuu.Unatokea mapori ya wapi ?
Tangu lini mtumba unauuza viatu dizaini moja
Mwanaume Kiatu bhana.Ni kizuri mno hata bei yake ilikuwa kubwa sana.
Laki mbili.
Mmeamia kwenye viatu tenaMwanaume Kiatu bhana.
Kina mvuto wake 😝
😅😅😅😅Ujue imebidi nicheke.Mmeamia kwenye viatu tena
Asee ngoja niende kuludisha perfume nichukue kiatu kuna sehemu nilipita nikaona mnasema mwanaume anaenukia vizuri anavutia😃😃😃kumbe mshahama huko😅😅😅😅Ujue imebidi nicheke.
Mwanaume akivaa Kiatu kizuri anavutia sana.
Asante sana Mkuu nitapita Jumatatu.Sasa unasema ni mtumba, wakati huo huo unaasema hakikuwa kimevaliwa!
Anewei, nenda mwenge baada ya wachonga vinyago, kuna wauzaji wa viatu hivyo. Huwezi kukosa hapo.
Nifanyie mpango Mkuu.Njoo Moshi kwenye soko la memorial,navionaga sana pale
Asante sana mkuuNgoja kesho kuna soko la mnada, huku nitakushitua....
😅😅😅😅😅Asee ngoja niende kuludisha perfume nichukue kiatu kuna sehemu nilipita nikaona mnasema mwanaume anaenukia vizuri anavutia😃😃😃kumbe mshahama hukoView attachment 3641497