Inasikitisha sana...Sisi bhana tuna mambo mengi katika kumkubali mtu na kumuweka moyoni.
Kiatu kizuri.
Mkanda pia tunawaangali
Saa.
Kucha.
Namna unavokula
Namna unavoongea
Mwendo wako.
Mashati kwenye Kola.
Suruali.
Rangi ya nguo.
Anavonukia.
Usafi wa meno n.k
Sasa jichanganye uwe unatafuna kama nguchiro hata kama una pesa ngapi Bro. Utaachwa.
🙌Inasikitisha sana...
Ungeweka.. "awe anamcha BWANA"¡ nawasikitikia sana...
😅 Mpiga kinanda 😝Ungeweka.. "awe anamcha BWANA"¡ nawasikitikia sana...
hahahaaa... Duh¡ hichi nacho kipengeleMpiga kinanda
Si ndo hicho unachonishauri?hahahaaa... Duh¡ hichi nacho kipengele
Shida sikai town,hadi nikifika kule ni hadi nikiwa na issue ndio huwa lazima nipitie huko niangalie mazaga.Nifanyie mpango Mkuu.
Hizi ndio Connection za Jamii Forum zenyewe.
Mimi nipo Dar es salaam
Asante sana
Sawa... be blesred¡Si ndo hicho unachonishauri?
Asante kwa taarifaMtumba ambao haujavaliwa? Hii ni mupya hii ni mupya kabisa. Mzee baba hakuna mtumba ambao haujatumika.
Sijachelewa sana upadre wacha niende tuu😃😅😅😅😅😅
Sisi bhana tuna mambo mengi katika kumkubali mtu na kumuweka moyoni.
Kiatu kizuri.
Mkanda pia tunawaangalia😝
Saa.
Kucha.
Namna unavokula
Namna unavoongea😜
Mwendo wako.
Mashati kwenye Kola.
Suruali.
Rangi ya nguo.
Anavonukia.
Usafi wa meno n.k
Sasa jichanganye uwe unatafuna kama nguchiro 😝 hata kama una pesa ngapi Bro. Utaachwa.
Maeneo Yangu MemorialNjoo Moshi kwenye soko la memorial,navionaga sana pale
Ingia H&M au Amazon unapata brand new kwa 350-450k. Au kwa bongo nenda maduka ya footstep utapata chini ya 300kHellow wakuu.
Habari ya majukumu.
Nimeona niwashirikishe hili suala.
Nilikutana na hiki kiatu Mwezi wa saba, bahati mbaya sana kilikuwa kimechukuliwa.
Ni mtumba.
Grade No 1.
Size No 44View attachment 3641483
Hakikuwa kimevaliwa
Naomba kwa yoyote mwenye machimbo ya Mtumba au Connection ya kukipata anijulishe.
Asante sana.
CAPO DELGADOMaeneo Yangu Memorial
Hapo Vitu Vipo
Mwenye Mada Angesema Yupo Wapi Apewe Location
Ni mtumba na hakikuwa kimevaliwa.Hellow wakuu.
Habari ya majukumu.
Nimeona niwashirikishe hili suala.
Nilikutana na hiki kiatu Mwezi wa saba, bahati mbaya sana kilikuwa kimechukuliwa.
Ni mtumba.
Grade No 1.
Size No 44View attachment 3641483
Hakikuwa kimevaliwa
Naomba kwa yoyote mwenye machimbo ya Mtumba au Connection ya kukipata anijulishe.
Asante sana.
Ina Maana Huko Mozambique Hakuna Shoes Ama
Mkuu kwani neno mtumba maana yake ni nini?Asante sana Mkuu nitapita Jumatatu.
Ipo mitumba inakuja Africa ambayo haijawahi kuvaliwa au kutumiwa Mbele.
HahahaMtumba ambao haujavaliwa? Hii ni mupya hii ni mupya kabisa. Mzee baba hakuna mtumba ambao haujatumika.
Huko Mucimboa de PraiaIna Maana Huko Mozambique Hakuna Shoes Ama
Naomba msaada Mkuu.Maeneo Yangu Memorial
Hapo Vitu Vipo
Mwenye Mada Angesema Yupo Wapi Apewe Location
Ipo.Mtumba ambao haujavaliwa? Hii ni mupya hii ni mupya kabisa. Mzee baba hakuna mtumba ambao haujatumika.