Natafuta Santuri (CD kubwa za zamani aina ya Gramophone)

Hapa kilimanjaro nitazipata sehemu gani ?
 
Kwenye gheto LA babu hayo madude yalikuwa mengi sana cjui ,kama bado zipo a see ngoja nikaangalie
Utanicheki kwa number yangu sa simu na nitakulipa ila kabla sijazinunua unatakiwa unijulishe ili nijue kama unazo hizo ninazohitaji
 
Nanunua santuri za kiarabu pia. .









 
Mkuu Sijakuelewa, unataka Santuri for kama collectors item ili usitunze kama kumbukumbu au unachotaka ni ili miziki ya kizamani ili uipate ?

Sababu kama ni miziki ya zamani kwanini usitafute miziki ya zamani direct ?, jaribu kutembelea watu kama RTD/TBC nadhani watakuwa na maktaba kubwa sana.
 
Inakuaje
Miziki ya zamani ni ngumu sana kuipata hata TBC. Mwaka 2013 nilikuwa nimekutana na Dj Eli na wadau walikuwa wa radio Tanzania kujaribu kuzitunza hizi santuri. Kweli wanazo nyingi radio Tanzania lakin ni asilimia chache sana. .

Hizi santuri zilikuwa nyingi recorded mitaani huko na nyimbo nyingi za kilugha haziko kabisa TBC. Studio nyingi za mitaani na nyimbo zinapotea huko. Santuri ikivunjika ujue basi hata nyimbo imepotea. Kuna nyimbo za wasanii wachanga wengi zimepotea sana na hazipo tena. .

Santuri nazotafuta mimi ni kuanzia mwaka 1930 mpaka 1969, hizi ni santuri za miaka ya mbali sana. Na nyingi zimepotea sana. Ukizipata nitafuraji tkifanya biashara. .
 
31st October 2021
Niko hapa bado nahitaji santuri kwa wenye nazo fursa iko wazi. Asanteni sana. .
 
Player ninayo pia sindano yake nliagiza Nairobi ndiyo naisubir
 
Santur ninazo unataka ngapi
Zipo had zile ndogo
Zile ndogo huitwa player hizo hapana
Nataka santuri kama unazo please nitumie picha watsapp 0714829688 nizihakiki
Nitazichukua zote kama ziko well preserved
 
Player ninayo pia sindano yake nliagiza Nairobi ndiyo naisubir
Sindano zinapatikana sana huko Kenya. Sema sasa hata bongo kuna baadhi ya watu wanakuwaga nazo. Mie nilikuwa nanunua kariakoo gerezani kwa jamaa mmoja anaitwa Big
 
Zile ndogo huitwa player hizo hapana
Nataka santuri kama unazo please nitumie picha watsapp 0714829688 nizihakiki
Nitazichukua zote kama ziko well preserved
Sina za kiarabu zipo za ulaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…