Nina machine ya kisasa inapiga 33, 45 na 78 rpm. Ila sasa hizi player zimetengenezwa specific na mzunguko wake. Huwezi piga 45 rpm kwenye 33 au 78. Ila ningependa kuona machine ya player uliyopost picha hazifunguki hukuAaaaah we unataka za speed ya 78rpm kumbe?! player yako kwani hairekebishi speed?
Dah jamaa kweli ni collector. Sahani 1000+ ni nyingi sana babu. Ntakuja unigawie na mimi ila napenda za waimbaji wa mbele sana sana Jazz, R&B, na hiphop kama unazo.Ninazo santuri kama elfu something nimenunua over the years. Ila project zangu zinahitaji nipate santuri nyingi sana. Mungu ni mwema sana. .
Dah aisee. Ntakusaidia kutafuta. Ila na hiyo player mashine yako inalimit sana kwasababu ukipata mashine inayo adjust speed ndio ingekufaa sana maana itaplay zote kulingana na mahitaji.Nazunguka sana mwaka wa kumi na moja huu. Nikizipata nyingi huwa ziko badly stired. Kwenye uhifadhi watu walifeli sana. .
Mmmmmmhmn nadhani zipo na za 33. Maana hii huwa nafanya kuadjust speed na mostly alinunua mshua miaka hiyo so nadhani zipo specific na speed ya 33 na 45.Hizi nazoziona kwenye picha ni 45 RPM unaona nyingine zimeandikwa 45 RPM. Una aina hii moja tu?
Ngoja nitume picha moja moja.Nina machine ya kisasa inapiga 33, 45 na 78 rpm. Ila sasa hizi player zimetengenezwa specific na mzunguko wake. Huwezi piga 45 rpm kwenye 33 au 78. Ila ningependa kuona machine ya player uliyopost picha hazifunguki huku
Hii hapaNina machine ya kisasa inapiga 33, 45 na 78 rpm. Ila sasa hizi player zimetengenezwa specific na mzunguko wake. Huwezi piga 45 rpm kwenye 33 au 78. Ila ningependa kuona machine ya player uliyopost picha hazifunguki huku
Sijawahi kuona machine in play zote machine yangu ya kisasa ngoja napost pictures hapa. Natumia samsung sassa simu ukichukua video zinakuw na mb kubwa kweli kweliDah aisee. Ntakusaidia kutafuta. Ila na hiyo player mashine yako inalimit sana kwasababu ukipata mashine inayo adjust speed ndio ingekufaa sana maana itaplay zote kulingana na mahitaji.
HiiNina machine ya kisasa inapiga 33, 45 na 78 rpm. Ila sasa hizi player zimetengenezwa specific na mzunguko wake. Huwezi piga 45 rpm kwenye 33 au 78. Ila ningependa kuona machine ya player uliyopost picha hazifunguki huku
Kwann unatafuta za 78 rpm pekee yake sasa kama zote inaweza kuzirun kwenye plate yake?!Sijawahi kuona machine in play zote machine yangu ya kisasa ngoja napost pictures hapa. Natumia samsung sassa simu ukichukua video zinakuw na mb kubwa kweli kweli
Machine niliyonayo ina play santuri zote ina adjust speed
Ya kwako ina play hizo 45 rpm and 33 rpm basi, ina maana santuri nilizonaz mie haziwez imba kwenye hizo zako. .
Hizi santuri ukisoma mda mwingine inaandikwa speed yake kwenye cover. Santuri ikiandikwa 45 RPM manake ndo mzunguko wake na inatakiwa ili iimbe ipigwe kwenye mzunguko wa 45 RPM. Na nyingine hivyo hivyo 78 RPM inazunguka kwa speed yake na 33 RPM inazunguka kwa speed yake.Mmmmmmhmn nadhani zipo na za 33. Maana hii huwa nafanya kuadjust speed na mostly alinunua mshua miaka hiyo so nadhani zipo specific na speed ya 33 na 45.
Mie nataka za mwanzo RPM ila sasa kama una 45 nataka za miaka ya 60 tu. Nyingi ambazo nakutana nazo ni za miaka ya 70. Ningenunua hiyo machine yako ila sasa pia nataka nijue ni toleo gani la Phillips. Unajua watu wanatumia ila hawajui kuwa wanaziharibu sahani zake. Unakuta pini imechoka ila mtu anaforce kutumia, sasa kwanza unaangalia upatikanaji wa pini. Nina pini ya phillips ila sijui kama inaingiliana na hiyo machine ngoja niicheki vizuri kama utakuwa unauza nitanunua. .Kwann unatafuta za 78 rpm pekee yake sasa kama zote inaweza kuzirun kwenye plate yake?!