Mi ndo nazijua nakuelekeza weweGramophone, vinyl player, turntable. Majina tu ila same line. View attachment 2310996
Labda hizi plates nikuuzie ila mashine bi mkubwa atanimind maana niling'ang'ania anipe nitumie niwe nayo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ya urithi [emoji23][emoji23][emoji23]Mie nataka za mwanzo RPM ila sasa kama una 45 nataka za miaka ya 60 tu. Nyingi ambazo nakutana nazo ni za miaka ya 70. Ningenunua hiyo machine yako ila sasa pia nataka nijue ni toleo gani la Phillips. Unajua watu wanatumia ila hawajui kuwa wanaziharibu sahani zake. Unakuta pini imechoka ila mtu anaforce kutumia, sasa kwanza unaangalia upatikanaji wa pini. Nina pini ya phillips ila sijui kama inaingiliana na hiyo machine ngoja niicheki vizuri kama utakuwa unauza nitanunua. .
Kubwa zipo za 33 rpm zina nyimbo hadi sita, nane. Kila upande unakuwa na idadi sawa za nyimbo. Ninazo hapa ila zipo kwenye maboksi huko juu ya Dar.Mi ndo najiuza nakuelekeza wewe
Hivi ni vitu tofauti kabisa, na ukijua utaelewa. .
33 rpm wabongo wengi wanaziita ALBUM Kwa sababu zilikuwa na nyimbo nyingi za Album. Ngoja nipige picha nikutumie pia uone tofauti ya 33, 45 na 78. 78 inakaa nyimbo mbili moja mbele moja nyuma, na material yake yako tofauti na hayo kabisa. .
Labda hizi plates nikuuzie ila mashine bi mkubwa atanimind maana niling'ang'ania anipe nitumie niwe nayo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ya urithi [emoji23][emoji23][emoji23]
Ila plates zipo za kutosha na huwa zingine sizisikilizi. So naweza kukuzisukuma kwako.
Dah ila aisee wasanii wa zamani walikuwa na uwezo bana. Hebu imagine producer akisema anza inamaana hakuna kukatisha ni hadi songi liishe.Enzi hizo studio ni hadi uende Nairobi kurekodi live Hakuna mambo ya kuingiza vocal kwenye beat
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] usijali hii me ningeweza kuuza ila unajua tena ni swala la honor tu mzee. Ni kama vile baba yako au mama yako anakupatia saa yake ya mkoloni zile za chain za kutia mfukoni halafu unaiuza au kugawa huwa inakuwa si heshima.Nilishawahi kwenda kwa mtu mzee wake akakuta anataka kuziuza tulifukuzwa na nga. Aisee sijswahi kujua kama ninaweza kumshinda hussein bolt kumbe nina mbio za hatari
Mulize mama kama atakubali kuuza, kuchukua kitu bila idhini yake sio sawa. Unaweza shangaa ikakuvunjikia mkononi. Ila sasa hizo sahani zako hazina covers hizi records ziko sensitive bila kava huwa zinakuwa na michubuko ukija zipiga zinakuwa husikii nyimbo zinachenga chenga. .
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nilishawahi kwenda kwa mtu mzee wake akakuta anataka kuziuza tulifukuzwa na nga. Aisee sijswahi kujua kama ninaweza kumshinda hussein bolt kumbe nina mbio za hatari
Mulize mama kama atakubali kuuza, kuchukua kitu bila idhini yake sio sawa. Unaweza shangaa ikakuvunjikia mkononi. Ila sasa hizo sahani zako hazina covers hizi records ziko sensitive bila kava huwa zinakuwa na michubuko ukija zipiga zinakuwa husikii nyimbo zinachenga chenga. .
Hii ni kweli kabisa, kitu cha kupewa sio vizuri kuuza. Basi jitahidi kuhifadhi nikipata pini nitakuambia ununue. Usiendelee kupiga hizo sahani kwenye hiyo machine hususani ni ya zamani kidogo utaharibui hizo sahani. Pini ninayo moja tu ila nakutana na watu wengi hatutokosa pini yake. .[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] usijali hii me ningeweza kuuza ila unajua tena ni swala la honor tu mzee. Ni kama vile baba yako au mama yako anakupatia saa yake ya mkoloni zile za chain za kutia mfukoni halafu unaiuza au kugawa huwa inakuwa si heshima.
Me vitu vya kupewa huwa natunza ikipita miaka kadhaa aliyekupa akikuta umetunza kitu chake na kinafanya kazi huwa inampa faraja kubwa sana.
Yes nyimbo inaingizwa nzima nzima kama mmoja kakosea mnarudia nyimbo yote haina editing.Dah ila aisee wasanii wa zamani walikuwa na uwezo bana. Hebu imagine producer akisema anza inamaana hakuna kukatisha ni hadi songi liishe.
Bongo ilikuwa ni RTD redio TANZANIA pia sera ya Nyerere ilikuwa ni lazima nyimbo ziwe edited na basata,matusi yanaimbwa kimafumbo sio siku hizi live hadi mtoto wa tumboni anajua hilo ni tusi.Hahaha hata bongo zilikuwepo ila Nairobi na South kulikuwa na studio za wazungu, wametoa matoleo mengi sana. .