Nataka kisingizio cha kuondoka kwa mpenzi wangu

Asantee
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu wanaume hua hatutupani,unampa mbinu Mwanamke ya kumuangamiza Mwanaume mwenzako?

Mleta mada anatakiwa apigwe spana mpaka aache huo ujinga.
 
no, ain't mean kwamba wewe ndo una mzaha, ila mimi siwezi kuact kama mchepuko wakati sio kweli
Ni mpenz wang na nina mpenda sana ila sasa ana a lot of limitations na sababu zangu zote kwake hazina mashiko
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…