Nenda nae taratibu boss, kwenye hali kama hii unatakiwa kwenda taratibu, mambo yameshatibua ubongo usiyakoroge zaidi.Unafikiria kumuacha mtu ambaye alishakuacha miezi mitatu iliyopita.
Upo sawa Sawa kweli?
Una hakika alipoenda siyo kwenye ngoma?Kituko kikubwa alichokifanya ni kutoroka nyumbani akiwaacha watoto hivi sasa kamaliza miezi yapata mitatu..
Mwanamke anapoondoka au kutoroka kwake kama huyo usihesabu ni mkeo hasta kama viongozi was dini au serikali wakikushauri namna gani!!Wana jamvi,
Kama bado hujawahi kukutana na changamoto ya familia unaweza kudhani watu humu wanaleta stori za kusadikika!
Mimi na mke wangu tumeishi naye kwa miaka nane sasa na kwa kipindi hicho chote nimejitahidi kuwa mwaminifu na kuhudumia familia vizuri.
Sasa vituko vya huyu mwanamke anagawa vitu vya ndani kama mafuta, mchele, maharage na hata mkaa. Vitu vinaisha kabla ya muda hata sehemu ninapofanya manunuzi huwa wanashangaa, husema huenda nina nyumba ndogo ila mimi ni mwaminifu kwa huyu mwanamke.
Kituko kikubwa alichokifanya ni kutoroka nyumbani akiwaacha watoto hivi sasa kamaliza miezi yapata mitatu taratibu mawazo ya kuoa mwanamke mwingine yanakuja ili kusaidiana maisha. Isitoshe mwanamke huyo hana elimu kubwa na hana ajira japo mimi ni payee sijawahi kumdharau kwa hali yake zaidi ya kumrekebisha pale anapokesea.
Sasa nimeona hali imekuwa climax na ninataka kuachana nae na watoto nitalea mwenyewe. Ushauri wenu wakuu 🤔
Asante mkuu kwa ushauri 🙏Afande
huyo alishakuacha kwasasa dili na wanao hao ndo ndgzako wakweli , usikimbilie kuoa jifunze wapi pamekosewa mwanzo
Nilitoa mahali na kifunga ndoa mkuu sikumuokotaMliokotana wapi na huyo the so called mkeo?
Najua kuachana ni process ngumu sana kwenye mahusiano, huenda yeye au wewe mmoja ana changamoto ambayo haivumiliki. Ila kwa vile kaondoka, ni vema ukamtafuta ili muwekane sawa kabla ya kufanya maamuzi mengine magumu.
Pole sana aseeNilitoa mahali na kifunga ndoa mkuu sikumuokota
Pole chiefWana jamvi,
Kama bado hujawahi kukutana na changamoto ya familia unaweza kudhani watu humu wanaleta stori za kusadikika!
Mimi na mke wangu tumeishi naye kwa miaka nane sasa na kwa kipindi hicho chote nimejitahidi kuwa mwaminifu na kuhudumia familia vizuri.
Sasa vituko vya huyu mwanamke anagawa vitu vya ndani kama mafuta, mchele, maharage na hata mkaa. Vitu vinaisha kabla ya muda hata sehemu ninapofanya manunuzi huwa wanashangaa, husema huenda nina nyumba ndogo ila mimi ni mwaminifu kwa huyu mwanamke.
Kituko kikubwa alichokifanya ni kutoroka nyumbani akiwaacha watoto hivi sasa kamaliza miezi yapata mitatu taratibu mawazo ya kuoa mwanamke mwingine yanakuja ili kusaidiana maisha. Isitoshe mwanamke huyo hana elimu kubwa na hana ajira japo mimi ni payee sijawahi kumdharau kwa hali yake zaidi ya kumrekebisha pale anapokesea.
Sasa nimeona hali imekuwa climax na ninataka kuachana nae na watoto nitalea mwenyewe. Ushauri wenu wakuu 🤔
Pole sana kiongozi,Nitaangalia kama nitaweza kurejea maamuzi kaka
mkuu mi nakuelewa pole sanaWana jamvi,
Kama bado hujawahi kukutana na changamoto ya familia unaweza kudhani watu humu wanaleta stori za kusadikika!
Mimi na mke wangu tumeishi naye kwa miaka nane sasa na kwa kipindi hicho chote nimejitahidi kuwa mwaminifu na kuhudumia familia vizuri.
Sasa vituko vya huyu mwanamke anagawa vitu vya ndani kama mafuta, mchele, maharage na hata mkaa. Vitu vinaisha kabla ya muda hata sehemu ninapofanya manunuzi huwa wanashangaa, husema huenda nina nyumba ndogo ila mimi ni mwaminifu kwa huyu mwanamke.
Kituko kikubwa alichokifanya ni kutoroka nyumbani akiwaacha watoto hivi sasa kamaliza miezi yapata mitatu taratibu mawazo ya kuoa mwanamke mwingine yanakuja ili kusaidiana maisha. Isitoshe mwanamke huyo hana elimu kubwa na hana ajira japo mimi ni payee sijawahi kumdharau kwa hali yake zaidi ya kumrekebisha pale anapokesea.
Sasa nimeona hali imekuwa climax na ninataka kuachana nae na watoto nitalea mwenyewe. Ushauri wenu wakuu 🤔
sasa uboya wake nini !?? mbona kama ww ni fyatu !Katika maboya wewe ni funga kazi yaani ukisha achwa miezi mitatu ilio pita wewe ndio unajadiri leo kumuacha angalia ndugu usije ukawa wewe ndio kiwanda cha kufyatua matahila
Alienda kwao mkuu. Wakwao wanaingilia familia yangu na ninahisi walimwambia aende. Kuhusu kumpiga muda huu kaondoka bila kumpiga
yuko kwako lakin si kwamba wameachana elewa…Sasa kama yupo kwao miezi mitatu unataka ushauri wa nn tena? Piga chini Anza maisha mapya
Kung'ang'ania mahusiano/ndoa inayokutesa ni ugonjwa wa akili pia. Jitaidi kujari afya yako ya akili kwa manufaa ya hao watoto mlinao