Nataka kuachana na mke tuliyezaa naye watoto watatu. Amenishinda tabia!

Nataka kuachana na mke tuliyezaa naye watoto watatu. Amenishinda tabia!

Mjukuu wa Magika

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2019
Posts
550
Reaction score
1,071
Wana jamvi,

Kama bado hujawahi kukutana na changamoto ya familia unaweza kudhani watu humu wanaleta stori za kusadikika. Mimi na mke wangu tumeishi naye kwa miaka nane sasa na kwa kipindi hicho chote nimejitahidi kuwa mwaminifu na kuhudumia familia vizuri.

Sasa vituko vya huyu mwanamke anagawa vitu vya ndani kama mafuta, mchele, maharage na hata mkaa. Vitu vinaisha kabla ya muda hata sehemu ninapofanya manunuzi huwa wanashangaa, husema huenda nina nyumba ndogo ila mimi ni mwaminifu kwa huyu mwanamke.

Kituko kikubwa alichokifanya ni kutoroka nyumbani akiwaacha watoto hivi sasa kamaliza miezi yapata mitatu taratibu mawazo ya kuoa mwanamke mwingine yanakuja ili kusaidiana maisha. Isitoshe mwanamke huyo hana elimu kubwa na hana ajira japo mimi ni payee sijawahi kumdharau kwa hali yake zaidi ya kumrekebisha pale anapokesea.

Sasa nimeona hali imekuwa climax na ninataka kuachana nae na watoto nitalea mwenyewe. Ushauri wenu wakuu 🤔
 
Wana jamvi kama bado hujawahi kukutana na changamoto ya familia unaweza kudhani watu humu wanaleta stori za kusadikika! Mimi na mke wangu tumeishi nae kwa miaka nane sasa na kwa kipindi hicho chote nimejitahidi kuwa mwaminifu na kuhudumia familia vizuri. Sasa vituko vya huyu mwanamke anagawa vitu vya ndani kama mafuta, mchele, maharage na hata mkaa. Vitu vinaisha kabla ya mda hata sehemu ninapofanya manunuzi huwa wanashangaa husema huenda nina nyumba ndogo ila mimi ni mwaminifu kwa huyu mwanamke. Kituko kikubwa alichokifanya ni kutoroka nyumbani akiwaacha watoto hivi sasa kamaliza miezi yapata mitatu taratibu mawazo ya kuoa mwanamke mwingine yanakuja ili kusaidiana maisha. Isitoshe mwanamke huyo hana elimu kubwa na hana ajira japo mimi ni payee sijawahi kumdharau kwa hali yake zaidi ya kumrekebisha pale anapokesea. Sasa nimeona hali imekuwa climax na ninataka kuachana nae na watoto nitalea mwenyewe. Ushauri wenu wakuu 🤔
Mkuu ushatoa report isije kuwa mtu kapotea au katekwa wewe unasema katoroka
 
Sasa nimeona hali imekuwa climax na ninataka kuachana nae na watoto nitalea mwenyewe. Ushauri wenu wakuu
Hayo ndiyo maamuzi ya kiume achana naye. Hakuna ushauri mwingine

Pole sana ulioa malaya. Malaya ni kama kunguru huwa hafugiki

Ni ngumu sana malaya kumfanya mke lazima atakusumbua tu

Kama Tina sasa hivi huko alipo anatombesha kwa mwanaume/wanaume wengine

Halafu unasema ninataka yaani mpaka leo haujafanya maamuzi acha ubwege, piga chini umbwa hiyo
 
Hayo ndiyo maamuzi ya kiume achana naye. Hakuna ushauri mwingine

Pole sana ulioa malaya. Malaya ni kama kunguru huwa hafugiki

Ni ngumu sana malaya kumfanya mke lazima atakusumbua tu

Kama Tina sasa hivi huko alipo anatombesha kwa mwanaume/wanaume wengine
Asante mkuu kwa ushauri wako kuniunga mkono
 
Mmhh anagawa vyakula! Ukute hakuna anachogawa labda wewe ndo wale wanaume ukinunua nyama unahesabu vipande vya nyama kwenye sufuria licha ya kutokuwa msaliti wa mapenzi we naye jichunguze unafeli wapi maana maelezo yako yana ualakini mkubwa! Mwanamke aliyeamua kuolewa akuzalie watoto watatu afu akurupuke tu awaache sio RAHISI yaani sio RAHISI na usifikiri itakuwa rahisi kiiivo mwanamke mwingine kulea watoto wako, watoto ambao walizoea malezi ya mama mzazi....hakuna aliye mkamilifu tafuta mke wako myamalize punguza gubu na uchoyo na kumpiga, nimeona comment yako ukimjibu gammaparticles muda huu kaondoka bila kumpiga inamaana huwa unampiga kachoka na upumbavu wako hata utayemuoa atakuja atachoka tu na ataenda
 
Kwako alifata kuzaa tu nakula hivyo vitu unavyohemea ,yeye hela hapendi

Iko hivi ,hivyo vitu unalalamika alikuwa hagawi ila alikuwa anauza apate hela
Mkuu tunaishi kwa malengo mfn kujenga na kuboresha nyumba, kununua asset na kula vizuri pamoja na mipango mingi. Kama ni hela anapeleka wapi na vyote anapata?
 
Back
Top Bottom