Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usukumani hahahahahaIla wakurya kwa asili ni watu wenye viburi na jeuri lakini pia ni watu wenye visasi na chuki zisizo na msingi hapo ukiangalia baba na mtoto wote ni walewale
Ushauli wangu Kama uko kanda ya ziwa nenda usukumani utapata mke bora lakini sio ukuriani, uhayani, ujitani hayo makabila yana watu washenzi sana
Yaani hapo ndo ananichanganya zaidi. Maana kila kitu anamsimlia mama ake.Miaka 20 kwa asilimia kubwa bado watoto sana kwenye maswala ya ndoa. Alaf wenda hicho kiburi anakitoa kwa mama ake
Sasa huko ndipo anapopandikizwa kiburiYaani hapo ndo ananichanganya zaidi. Maana kila kitu anamsimlia mama ake.
Acha kuvunja ndoa za watu mkuuUliikuwa una makosa kumuoa mtu, usiyemjua umeunganishwa nae tu, cha kufanya muache huyo binti haijalishi umelipia mahari
Sent using Jamii Forums mobile app
Anchosubiri ni approval kutoka kwetyuAcha kuvunja ndoa za watu mkuu
Piga chini mchongo huoMimi ni kijana umri Miaka 28. Naishi Dar es salaam.
Baada ya kupata shauku kuoa niliamua kusafiri na kurudi kijijini kwetu ambako wazazi wanaishi.
Nilifanya uchunguzi kwa binti kadhaa waliokuwepo kijijini. Kutokana na Mimi kutokuwepo kijijini kwa Muda mrefu ilikuwa ngumu kujua yupi ni mtu sahihi kwangu hivyo basi nikapata msaada kutoka kwa ndugu wengine.
Baada ya wiki kadhaa binti mdogo wa Miaka 20 akapatikana. Akamwagiwa sifa nyingi tu. Basi utararibu wa kutoa mahari ukaanza.
Mama yake akakubali binti pia akakubali kuolewa na Mimi lakini baba yake akakubali ila akasema mahari hapokei yeye alipoulizwa sababu ni nini hakuitaja.
Ikumbukwe Mila na desturi za mkoa wa mara baba wa binti kama yuko hai ndo anapokea mahari. Baada ya huyo mshua kukata ikabidi Wazee wenzake waitwe ili waongee nae Kikao kikakaa kwa masaa zaidi ya matano bado mzee anashikilia msimamo wake.
Alivyobanwa Sana akakubali ila akatoa sharti kwamba siku ya kupokea mahari ataipanga yeye. Basi Kikao kikaisha.
Ikapita siku na hatimae wiki mzee yuko kimya. Wazee wakamrudia tena vipi mbona kimya yule mshua akawaambia wasimpelekeshe. Kwa kifupi mzee alikwepa kwa kisingizio cha yeye kupanga Siku ya kupokea Mahari.
Basi mama mtu akasema kama hataki yeye yuko tayari kupokea mahari. Ikapangwa idadi ya mahari na siku ya kutoa kisha shughuli ikafanyika. Huyo baba mkwe ameoa wanawake wawili.
Mama wa binti niliemuoa anaishi kivyake ni kama wametengana japo sio rasmi kwa talaka maana mzee haendi kwa huyo mama wala hatoi matumizi yoyote.
Siku ya kutoa mahari watu walijaribu kupeleka ng'ombe anakoishi mzee lakini alitoka nje na kuwafukaza waondoke wazipeleke kwa huyo mke Wake mdogo ambae ndio mama wa huyo binti wakapeleka na shughuli ikaisha.
Kumbuka huyo binti nilikuwa simjui kabisa tumekutanishwa na kuoana. Miezi mitatu baada ya Kuoana japo sio kwa Ndoa ya Kanisani.
Nimegundua binti ana kiburi ni mbishi hataki umuelekeze ukifanya hivyo ananuna hata unyumba inakuwa tabu tunamaliza mpaka mwezi hatujasex.
Mambo madogo ya ndani kwetu anamsimlia mama ake na ndugu zake. Kwa kifupi nimemchoka ghafla hasa nikikumbuka jinsi mchakato ulivyokuwa especial baba ake alivyokataa kupokea mahari napata hofu hata tukifunga Ndoa inaweza kukosa baraka.
Hii tabia ya mzee wake kukataa kupokea mahari haijaanzia kwangu tu. Dada ake na mke wangu pia ilikuwa hivyo baba alikataa kupokea mama akapokea ila baada ya kama Miaka miwili hivi yule jamaa alifarika na kuacha mjane na mtoto mmoja.
Pia Kuna mabinti wengine wawili mzee alileta ugumu kupokea mahari mpaka leo wanaishi na wanaume wao lakini mahali hawajatoa.
Sasa ndugu zangu nisaidieni mawazo nifanye nini. Je lengo langu la Kumuacha liko sahihi. Sababu ya kumuacha haiwezi kukosa bahati nzuri hutujazaa bado na wala hana Mimba.
Tatizo tunaoa ili kupata sifa kwa ndg na jamaa, mtu anaona akioa basi vkao vya familia havmpitii kushotoMkuu huyo binti mrudishe tu kwao. Ulikurupuka kulipa mahari bila kumjua vizuri na hayo ndio matokeo
Wanawake wa Dar nao niwakuoaHuku Dar hukuwa na wanawake?au ndo uliwatumia kama kipoozeo tu kuoa ukaenda Mara.
Sasa nakuambiaje vita ni vita mura pambana na hali yako.
Kumbe eehTatizo tunaoa ili kupata sifa kwa ndg na jamaa, mtu anaona akioa basi vkao vya familia havmpitii kushoto
Tatizo linaanza hapo
Ninachoona hapa, mtoa mada kaowa kwaajiri ya mbususu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mkuu Kama bado hujazaa naye na umeshayaona mapungufu yake mapema Bora utuishe mzigo mapema Tafta mtu sahihi ambaye moyo wako unapenda usichukue mtu kwa kuwasikiliza watu/ wajumbe
Amini kwamba, mwingine anaowa kisa demu mkali anaona akimbwela watu watamuwahiKumbe eeh
Mwanamke wa nini kama papuchi hakupatii. Achana nae utafute mwingine mwezi mzima. Anafikiri kukupa papuchi ni kukuonea huruma au fadhila hajui kwamba ni wajibu. Ndio maana watu wanawapiga wake zao kwasababu ya kunyimwa papuchiMimi ni kijana umri Miaka 28. Naishi Dar es salaam.