Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Mrudishe kwao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda ya nyuma Kama amebahatisha
Wa Dar wa kufanyia mazoezi wakishafuzu wanaenda kuoa kwao. Wanawake wa Dar tunateswa sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unamwambia tu twende tukawatembelee kijijini kwenu chukua begi kubwa tutakaa kama mwezi maana kuna mchongo naufuatulia huko kwenu,mkifika kijijini kwao unajifanya unazuga siku mbili unarudi dar ,akianza kukutafuta unamwambia siku hizi sipo dar nimehamishwa kikazi singidaNiko kwenye mchakato. Hapa nasubili nipate sababu za Kumuacha. Akiteleza kidogo amekwisha
Sio unakutana na papuchi ya ajabu unaanza kujutaKweli kabisa. Shake well before use
Hahahaaaa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mautundu kama yote lol! AKIFUZU kiguu na njia kijijini.
Kawaona, ila hiyo ela ya kukununulia iPhone 13 kule kijijini inatosha kutowa mahari na sherehe na chenji inabaki.Huku Dar hukuwa na wanawake?au ndo uliwatumia kama kipoozeo tu kuoa ukaenda Mara.
Sasa nakuambiaje vita ni vita mura pambana na hali yako.
Hilo kabila ndugu zako wapumbavu sijui na wewe nikuweke kundi moja!!! Baba akikataa hakuna cha kufanya mkalazimisha endeleeni na shoo zenu za ubishi aliwaonea huruma mkajipa ufahari duuh tz hataree sanaMimi ni kijana umri Miaka 28. Naishi Dar es Salaam.
Baada ya kupata shauku kuoa niliamua kusafiri na kurudi kijijini kwetu ambako wazazi wanaishi.
Nilifanya uchunguzi kwa binti kadhaa waliokuwepo kijijini. Kutokana na Mimi kutokuwepo kijijini kwa Muda mrefu ilikuwa ngumu kujua yupi ni mtu sahihi kwangu hivyo basi nikapata msaada kutoka kwa ndugu wengine.
Baada ya wiki kadhaa binti mdogo wa Miaka 20 akapatikana. Akamwagiwa sifa nyingi tu. Basi utararibu wa kutoa mahari ukaanza.
Mama yake akakubali binti pia akakubali kuolewa na Mimi lakini baba yake akakubali ila akasema mahari hapokei yeye alipoulizwa sababu ni nini hakuitaja.
Ikumbukwe Mila na desturi za mkoa wa mara baba wa binti kama yuko hai ndo anapokea mahari. Baada ya huyo mshua kukata ikabidi Wazee wenzake waitwe ili waongee nae Kikao kikakaa kwa masaa zaidi ya matano bado mzee anashikilia msimamo wake.
Alivyobanwa Sana akakubali ila akatoa sharti kwamba siku ya kupokea mahari ataipanga yeye. Basi Kikao kikaisha.
Ikapita siku na hatimae wiki mzee yuko kimya. Wazee wakamrudia tena vipi mbona kimya yule mshua akawaambia wasimpelekeshe. Kwa kifupi mzee alikwepa kwa kisingizio cha yeye kupanga Siku ya kupokea Mahari.
Basi mama mtu akasema kama hataki yeye yuko tayari kupokea mahari. Ikapangwa idadi ya mahari na siku ya kutoa kisha shughuli ikafanyika. Huyo baba mkwe ameoa wanawake wawili.
Mama wa binti niliemuoa anaishi kivyake ni kama wametengana japo sio rasmi kwa talaka maana mzee haendi kwa huyo mama wala hatoi matumizi yoyote.
Siku ya kutoa mahari watu walijaribu kupeleka ng'ombe anakoishi mzee lakini alitoka nje na kuwafukaza waondoke wazipeleke kwa huyo mke Wake mdogo ambae ndio mama wa huyo binti wakapeleka na shughuli ikaisha.
Kumbuka huyo binti nilikuwa simjui kabisa tumekutanishwa na kuoana. Miezi mitatu baada ya Kuoana japo sio kwa Ndoa ya Kanisani.
Nimegundua binti ana kiburi ni mbishi hataki umuelekeze ukifanya hivyo ananuna hata unyumba inakuwa tabu tunamaliza mpaka mwezi hatujasex.
Mambo madogo ya ndani kwetu anamsimlia mama ake na ndugu zake. Kwa kifupi nimemchoka ghafla hasa nikikumbuka jinsi mchakato ulivyokuwa especial baba ake alivyokataa kupokea mahari napata hofu hata tukifunga Ndoa inaweza kukosa baraka.
Hii tabia ya mzee wake kukataa kupokea mahari haijaanzia kwangu tu. Dada ake na mke wangu pia ilikuwa hivyo baba alikataa kupokea mama akapokea ila baada ya kama Miaka miwili hivi yule jamaa alifarika na kuacha mjane na mtoto mmoja.
Pia Kuna mabinti wengine wawili mzee alileta ugumu kupokea mahari mpaka leo wanaishi na wanaume wao lakini mahali hawajatoa.
Sasa ndugu zangu nisaidieni mawazo nifanye nini. Je lengo langu la Kumuacha liko sahihi. Sababu ya kumuacha haiwezi kukosa bahati nzuri hutujazaa bado na wala hana Mimba.
Hivi siku hizi upuuzi huu wa kuunganishwa mke upo? Halafu familia haiko Imara bado ukajipeleka huko? Kitendo tu cha Baba mtu kukataa mahari ni DOA? Inaelekea kuna pingamizi la Giza kwa huyo Mzee na limeambatana na maagano ndiyo maana hawezi kuyavunja. Nashangaa hata hao wazee hawaluweza kukushauri kuwa hapo ni hatari. Kifupi achana na huyu binti kabla hajakuzalia mtoto kisirani . Kwa taarifa unapooa upande wa ukweni ni wa kuchunguza mno. Watoto huwa Wana base Sana upande wa ukweni mambo mengi. Umepanda mti kwa viatu kushika ni kuangukia pua.Mimi ni kijana umri Miaka 28. Naishi Dar es Salaam.
Baada ya kupata shauku kuoa niliamua kusafiri na kurudi kijijini kwetu ambako wazazi wanaishi.
Nilifanya uchunguzi kwa binti kadhaa waliokuwepo kijijini. Kutokana na Mimi kutokuwepo kijijini kwa Muda mrefu ilikuwa ngumu kujua yupi ni mtu sahihi kwangu hivyo basi nikapata msaada kutoka kwa ndugu wengine.
Baada ya wiki kadhaa binti mdogo wa Miaka 20 akapatikana. Akamwagiwa sifa nyingi tu. Basi utararibu wa kutoa mahari ukaanza.
Mama yake akakubali binti pia akakubali kuolewa na Mimi lakini baba yake akakubali ila akasema mahari hapokei yeye alipoulizwa sababu ni nini hakuitaja.
Ikumbukwe Mila na desturi za mkoa wa mara baba wa binti kama yuko hai ndo anapokea mahari. Baada ya huyo mshua kukata ikabidi Wazee wenzake waitwe ili waongee nae Kikao kikakaa kwa masaa zaidi ya matano bado mzee anashikilia msimamo wake.
Alivyobanwa Sana akakubali ila akatoa sharti kwamba siku ya kupokea mahari ataipanga yeye. Basi Kikao kikaisha.
Ikapita siku na hatimae wiki mzee yuko kimya. Wazee wakamrudia tena vipi mbona kimya yule mshua akawaambia wasimpelekeshe. Kwa kifupi mzee alikwepa kwa kisingizio cha yeye kupanga Siku ya kupokea Mahari.
Basi mama mtu akasema kama hataki yeye yuko tayari kupokea mahari. Ikapangwa idadi ya mahari na siku ya kutoa kisha shughuli ikafanyika. Huyo baba mkwe ameoa wanawake wawili.
Mama wa binti niliemuoa anaishi kivyake ni kama wametengana japo sio rasmi kwa talaka maana mzee haendi kwa huyo mama wala hatoi matumizi yoyote.
Siku ya kutoa mahari watu walijaribu kupeleka ng'ombe anakoishi mzee lakini alitoka nje na kuwafukaza waondoke wazipeleke kwa huyo mke Wake mdogo ambae ndio mama wa huyo binti wakapeleka na shughuli ikaisha.
Kumbuka huyo binti nilikuwa simjui kabisa tumekutanishwa na kuoana. Miezi mitatu baada ya Kuoana japo sio kwa Ndoa ya Kanisani.
Nimegundua binti ana kiburi ni mbishi hataki umuelekeze ukifanya hivyo ananuna hata unyumba inakuwa tabu tunamaliza mpaka mwezi hatujasex.
Mambo madogo ya ndani kwetu anamsimlia mama ake na ndugu zake. Kwa kifupi nimemchoka ghafla hasa nikikumbuka jinsi mchakato ulivyokuwa especial baba ake alivyokataa kupokea mahari napata hofu hata tukifunga Ndoa inaweza kukosa baraka.
Hii tabia ya mzee wake kukataa kupokea mahari haijaanzia kwangu tu. Dada ake na mke wangu pia ilikuwa hivyo baba alikataa kupokea mama akapokea ila baada ya kama Miaka miwili hivi yule jamaa alifarika na kuacha mjane na mtoto mmoja.
Pia Kuna mabinti wengine wawili mzee alileta ugumu kupokea mahari mpaka leo wanaishi na wanaume wao lakini mahali hawajatoa.
Sasa ndugu zangu nisaidieni mawazo nifanye nini. Je lengo langu la Kumuacha liko sahihi. Sababu ya kumuacha haiwezi kukosa bahati nzuri hutujazaa bado na wala hana Mimba.
Nilishaachana nae. Nilishtuka. Ila hii Dunia haifai watu wanaweza kukusukuma kwenye Moto kwa kauli ya anafaa.Hivi siku hizi upuuzi huu wa kuunganishwa mke upo? Halafu familia haiko Imara bado ukajipeleka huko? Kitendo tu cha Baba mtu kukataa mahari ni DOA? Inaelekea kuna pingamizi la Giza kwa huyo Mzee na limeambatana na maagano ndiyo maana hawezi kuyavunja. Nashangaa hata hao wazee hawaluweza kukushauri kuwa hapo ni hatari. Kifupi achana na huyu binti kabla hajakuzalia mtoto kisirani . Kwa taarifa unapooa upande wa ukweni ni wa kuchunguza mno. Watoto huwa Wana base Sana upande wa ukweni mambo mengi. Umepanda mti kwa viatu kushika ni kuangukia pua.
Sio kweli labda kama ni Mara ya Urusi.Kwa mujibu wa mila za watu wa Mara ukishamlipia mwanamke mahari huyo ni mke wako wa ndoa,hivyo basi hata ukimrudisha nyumbani ataendelea kuhesabika mke wako mpaka anakufa na hawezi olewa tena hulu hatuna talaka.