Nataka kuachana na Mwanamke niliyemtolea mahari

Nataka kuachana na Mwanamke niliyemtolea mahari

Mwanamke wa nini kama papuchi hakupatii. Achana nae utafute mwingine mwezi mzima. Anafikiri kukupa papuchi ni kukuonea huruma au fadhila hajui kwamba ni wajibu. Ndio maana watu wanawapiga wake zao kwasababu ya kunyimwa papuchi
Yaani acha tu kaka na Mimi napenda Sana Papuchi angalau mara mbili kwa wiki.
 
Mimi ni kijana umri Miaka 28. Naishi Dar es salaam.

Baada ya kupata shauku kuoa niliamua kusafiri na kurudi kijijini kwetu ambako wazazi wanaishi.

Nilifanya uchunguzi kwa binti kadhaa waliokuwepo kijijini. Kutokana na Mimi kutokuwepo kijijini kwa Muda mrefu ilikuwa ngumu kujua yupi ni mtu sahihi kwangu hivyo basi nikapata msaada kutoka kwa ndugu wengine.

Baada ya wiki kadhaa binti mdogo wa Miaka 20 akapatikana. Akamwagiwa sifa nyingi tu. Basi utararibu wa kutoa mahari ukaanza.

Mama yake akakubali binti pia akakubali kuolewa na Mimi lakini baba yake akakubali ila akasema mahari hapokei yeye alipoulizwa sababu ni nini hakuitaja.

Ikumbukwe Mila na desturi za mkoa wa mara baba wa binti kama yuko hai ndo anapokea mahari. Baada ya huyo mshua kukata ikabidi Wazee wenzake waitwe ili waongee nae Kikao kikakaa kwa masaa zaidi ya matano bado mzee anashikilia msimamo wake.

Alivyobanwa Sana akakubali ila akatoa sharti kwamba siku ya kupokea mahari ataipanga yeye. Basi Kikao kikaisha.

Ikapita siku na hatimae wiki mzee yuko kimya. Wazee wakamrudia tena vipi mbona kimya yule mshua akawaambia wasimpelekeshe. Kwa kifupi mzee alikwepa kwa kisingizio cha yeye kupanga Siku ya kupokea Mahari.

Basi mama mtu akasema kama hataki yeye yuko tayari kupokea mahari. Ikapangwa idadi ya mahari na siku ya kutoa kisha shughuli ikafanyika. Huyo baba mkwe ameoa wanawake wawili.

Mama wa binti niliemuoa anaishi kivyake ni kama wametengana japo sio rasmi kwa talaka maana mzee haendi kwa huyo mama wala hatoi matumizi yoyote.

Siku ya kutoa mahari watu walijaribu kupeleka ng'ombe anakoishi mzee lakini alitoka nje na kuwafukaza waondoke wazipeleke kwa huyo mke Wake mdogo ambae ndio mama wa huyo binti wakapeleka na shughuli ikaisha.

Kumbuka huyo binti nilikuwa simjui kabisa tumekutanishwa na kuoana. Miezi mitatu baada ya Kuoana japo sio kwa Ndoa ya Kanisani.

Nimegundua binti ana kiburi ni mbishi hataki umuelekeze ukifanya hivyo ananuna hata unyumba inakuwa tabu tunamaliza mpaka mwezi hatujasex.

Mambo madogo ya ndani kwetu anamsimlia mama ake na ndugu zake. Kwa kifupi nimemchoka ghafla hasa nikikumbuka jinsi mchakato ulivyokuwa especial baba ake alivyokataa kupokea mahari napata hofu hata tukifunga Ndoa inaweza kukosa baraka.

Hii tabia ya mzee wake kukataa kupokea mahari haijaanzia kwangu tu. Dada ake na mke wangu pia ilikuwa hivyo baba alikataa kupokea mama akapokea ila baada ya kama Miaka miwili hivi yule jamaa alifarika na kuacha mjane na mtoto mmoja.

Pia Kuna mabinti wengine wawili mzee alileta ugumu kupokea mahari mpaka leo wanaishi na wanaume wao lakini mahali hawajatoa.

Sasa ndugu zangu nisaidieni mawazo nifanye nini. Je lengo langu la Kumuacha liko sahihi. Sababu ya kumuacha haiwezi kukosa bahati nzuri hutujazaa bado na wala hana Mimba.
Unaishi nae wapi kwa sasa? Naomba namba zake tafadhali nimshauri atabadilika
 
Mara lakimoja aowe mikoani kuriko dar babaa. Mabinto wa dar most of zem jeuri, malaya, vibuli na ujuwaji mnoo.


Muraa Pore sana,,,,kuna msemo unasema "uckosee kuowa"

Duuh hapana sio wote bhana

afu hizi myths bhana sio poa kwahio tuliozaliwa Dar itakuaje[emoji81][emoji81][emoji81][emoji81]

Itabidi kila likizo nirudi kijijini kule bush kwetu kule[emoji75][emoji75][emoji75][emoji75] nisije zeeka na hili jiji
 
Unaenda kuoa binti ambae mama yake ndoa imemshinda au ameachika jua hapo hauna mke
 
Duuh hapana sio wote bhana

afu hizi myths bhana sio poa kwahio tuliozaliwa Dar itakuaje[emoji81][emoji81][emoji81][emoji81]

Itabidi kila likizo nirudi kijijini kule bush kwetu kule[emoji75][emoji75][emoji75][emoji75] nisije zeeka na hili jiji
Hatari sana
Dar hii inatuponza sana ..
 
Umemtolea mahari, unaishi nae, mke wako, mbona kama kichwa cha habari kinaonesha umetoa mahari ila haujamuoa? Halafu kwenye maelezo unaonesha umemuoa na unaishi nae.....
Anyway mtu usiyemjua unaenda kumjulia ndoani, mke unayeishi nae ni wewe sio wanaokutafutia......
Ongea na moyo wako kuanza upya si ujinga, muhimu upate amani ya moyo sio mradi tuu uonekane umeoa
 
Achana nae mkuu. Ila kabla ya kuachana nae naomba unitumie namba yake ya simu aisee. Watu tupo singo nyie mnapambana kujitoa.
 
Duuh hapana sio wote bhana

afu hizi myths bhana sio poa kwahio tuliozaliwa Dar itakuaje[emoji81][emoji81][emoji81][emoji81]

Itabidi kila likizo nirudi kijijini kule bush kwetu kule[emoji75][emoji75][emoji75][emoji75] nisije zeeka na hili jiji

Co wote chifu,,,wako wanaojitambua
 
Back
Top Bottom