Nataka kuachana na Mwanamke niliyemtolea mahari

Rudisha kwao huyo mjinga ikiwezekana nipe namba yake nimpigie nimweleze arudi kwao asilete usumbufu kwenye jamii
 
😂😂😂😂 mautundu kama yote lol! AKIFUZU kiguu na njia kijijini.

Wa Dar wa kufanyia mazoezi wakishafuzu wanaenda kuoa kwao. Wanawake wa Dar tunateswa sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Niko kwenye mchakato. Hapa nasubili nipate sababu za Kumuacha. Akiteleza kidogo amekwisha
Unamwambia tu twende tukawatembelee kijijini kwenu chukua begi kubwa tutakaa kama mwezi maana kuna mchongo naufuatulia huko kwenu,mkifika kijijini kwao unajifanya unazuga siku mbili unarudi dar ,akianza kukutafuta unamwambia siku hizi sipo dar nimehamishwa kikazi singida
 
Huku Dar hukuwa na wanawake?au ndo uliwatumia kama kipoozeo tu kuoa ukaenda Mara.
Sasa nakuambiaje vita ni vita mura pambana na hali yako.
Kawaona, ila hiyo ela ya kukununulia iPhone 13 kule kijijini inatosha kutowa mahari na sherehe na chenji inabaki.
 
Hilo kabila ndugu zako wapumbavu sijui na wewe nikuweke kundi moja!!! Baba akikataa hakuna cha kufanya mkalazimisha endeleeni na shoo zenu za ubishi aliwaonea huruma mkajipa ufahari duuh tz hataree sana
 
Binti ana haki...km unakibamia chako.kikwapa nani anataka ??mbususu inavonoga vile demu akae mwezi??? Kwanza ataogopa usipeleke mshedede mbali atatoa tu km una mnanii vizuri......km vipi lala nje ya house mara moja uone.....huyo ndo mzuri umeshindwa hata kubembeleza mpigie ritungu basi japo.....atashangaa sana ukipiga ritungu na kicheko juuu siku hiyo atakupa mpaka useme baasi.
Akifanya tena mpe obhosara......akirudia tena ghichure mpe....mke haaachwi dogo.km vipi nipe mimi..

.
 
Kwa mujibu wa mila za watu wa Mara ukishamlipia mwanamke mahari huyo ni mke wako wa ndoa,hivyo basi hata ukimrudisha nyumbani ataendelea kuhesabika mke wako mpaka anakufa na hawezi olewa tena hulu hatuna talaka.
 
Hivi siku hizi upuuzi huu wa kuunganishwa mke upo? Halafu familia haiko Imara bado ukajipeleka huko? Kitendo tu cha Baba mtu kukataa mahari ni DOA? Inaelekea kuna pingamizi la Giza kwa huyo Mzee na limeambatana na maagano ndiyo maana hawezi kuyavunja. Nashangaa hata hao wazee hawaluweza kukushauri kuwa hapo ni hatari. Kifupi achana na huyu binti kabla hajakuzalia mtoto kisirani . Kwa taarifa unapooa upande wa ukweni ni wa kuchunguza mno. Watoto huwa Wana base Sana upande wa ukweni mambo mengi. Umepanda mti kwa viatu kushika ni kuangukia pua.
 
Nilishaachana nae. Nilishtuka. Ila hii Dunia haifai watu wanaweza kukusukuma kwenye Moto kwa kauli ya anafaa.
 
Kwa mujibu wa mila za watu wa Mara ukishamlipia mwanamke mahari huyo ni mke wako wa ndoa,hivyo basi hata ukimrudisha nyumbani ataendelea kuhesabika mke wako mpaka anakufa na hawezi olewa tena hulu hatuna talaka.
Sio kweli labda kama ni Mara ya Urusi.
Iko hivi ikitokea mmeachana kama mwanamke hajazaa anatakiwa kurudisha Mali na kitendo hicho cha kurudisha mali kinachukuliwa kama mwisho wa Ndoa hiyo. Endapo amezaa atarudisha nusu ya mali iliyotolewa. So kuachana kupo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…