Nataka kuachana na mwanamke

Nataka kuachana na mwanamke

Ili uweze kuishi na mwanamke vizuri zingatia haya
1..daima wewe ndo uwe na kipato kikubwa
2..hakikisha linapokuja swala la kudinyana Somalia ukucha mpaka kuhamka asubuhi anakusalimia shikamoo Baba
3..uwe na kauli moja ndani hapana au ndio
4..akikukosea mkalishe chini kama mtoto,na ikiwezekana achezee mbata achana na wazungu eti haki sawa mwanaume daima yupo juu ya mwanamke hakuna cha haki sawa.
5..akitaka kwenda kwa ndugu zake aombe ruhusa sio anajiamuria
Mimi hii mbinu kanipa babu yangu mwenye wake 4 na watoto 27,mpaka sasa hakuna mwanamke aliyeachana naye toka aingie kwenye ndoa nao wote.
Baba ana wanawake 3 na watoto 15
Wote heshima debe kudadekiii
Watoto 15 kwa 250k? Okay.
 
Baba yako angekuwa bwegeee kama wewe ungekuwa wapi?
You never know, labda ningekuwa humu duniani au angenizaa na mwanamke kwa mkataba wa kubeba mimba tu, na kisha akalipia gharama za mtoto kila mmoja akachukua hamsini zake.
 
Watoto 15 kwa 250k? Okay.
Kwa kipindi hicho kuna uwezekano familia ikasonga maana wazee wetu walikuwa wanafuga na pia watoto wanaishi popote bila lawama (mali ya jamii nzima) pia mahitaji hasa elimu bora haikuwa lazima kwa wote n.k
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
Ni muda mwingine tena.

Anaomba ushauri huyu rafiki yangu mwanzoni alinishauri sana nioe tufanane ila nikamwambia mimi sina kazi na siwezi mtunza mke, leo yamemkuta.

"Ni miaka minne sasa tangu ampate shemeji/wifi yenu ila kiukweli, mambo aliyofanya alipokuwa single ni makubwa na mengi kuliko hivi sasa (ata mimi ni shahidi), kwann hebu msikilize.

"Ndani ya miaka kumi niliyoishi kama single nimeweza kujenga nyumba , kuanzisha biashara ya duka na yote nilikuwa pekee yangu tena nikiwa jobless nikipambana na ujasiriamali pekee.

Nikasema kwa kupata hivyo vichache hebu nivute jiko la mkeka ukizingatia serikali nayo ilinivuta karibu nikawa mtumishi official,

Aisee ikawa kosa kubwa maana hadi leo tuna mtoto mmoja mwanamke ni mama wa nyumbani, mshahara above 900,000, biashara za duka zimelala mtoto bado ana miaka 2.

Naona ninapoelekea nitapakaa rangi upepo yaani baada ya kuoa nimeona kama vile kuna mzigo umeniangukia yaani sifurukuti rafiki yangu".[emoji15][emoji15]

"Je kuna uwezekano nikarudi single maana miaka inasonga sioni moja wala mbili mbele, mshahara hautoshi kabisa kulea familia yaani unaisha kwa matumizi ya nyumbani tu

msaada tutani maana nilivyokuwa single nili-enjoy ila huku ngoja tuwaachie wazoefu (sauti ya upole), ....[emoji25][emoji25][emoji25]"

Kwa mawazo yangu mafupi nawaza huwenda kuna pahala alikosea ila isiwe taabu siyo vibaya tukamshauri sipendi kuficha changamoto na mimi kujifanya mwalimu.

Karibuni

Mimi mwenyewe nimefanikiwa kukimbia baada ya kupata mwanamke mzigo tena mzigo mzito! Mwanamke haeleweki hana future mwanamke yupo yupo tu nikaona hizi huruma ndio chanzo cha matatizo yote haya! Furushi la giza!
 
Ni muda mwingine tena.

Anaomba ushauri huyu rafiki yangu mwanzoni alinishauri sana nioe tufanane ila nikamwambia mimi sina kazi na siwezi mtunza mke, leo yamemkuta.

"Ni miaka minne sasa tangu ampate shemeji/wifi yenu ila kiukweli, mambo aliyofanya alipokuwa single ni makubwa na mengi kuliko hivi sasa (ata mimi ni shahidi), kwann hebu msikilize.

"Ndani ya miaka kumi niliyoishi kama single nimeweza kujenga nyumba , kuanzisha biashara ya duka na yote nilikuwa pekee yangu tena nikiwa jobless nikipambana na ujasiriamali pekee.

Nikasema kwa kupata hivyo vichache hebu nivute jiko la mkeka ukizingatia serikali nayo ilinivuta karibu nikawa mtumishi official,

Aisee ikawa kosa kubwa maana hadi leo tuna mtoto mmoja mwanamke ni mama wa nyumbani, mshahara above 900,000, biashara za duka zimelala mtoto bado ana miaka 2.

Naona ninapoelekea nitapakaa rangi upepo yaani baada ya kuoa nimeona kama vile kuna mzigo umeniangukia yaani sifurukuti rafiki yangu".😳😳

"Je kuna uwezekano nikarudi single maana miaka inasonga sioni moja wala mbili mbele, mshahara hautoshi kabisa kulea familia yaani unaisha kwa matumizi ya nyumbani tu

msaada tutani maana nilivyokuwa single nili-enjoy ila huku ngoja tuwaachie wazoefu (sauti ya upole), ....😪😪😪"

Kwa mawazo yangu mafupi nawaza huwenda kuna pahala alikosea ila isiwe taabu siyo vibaya tukamshauri sipendi kuficha changamoto na mimi kujifanya mwalimu.

Karibuni
Kosa la Mwanamke hapo ni nini?
Unataka kuongeza idadi ya Single mother?
 
Mimi mwenyewe nimefanikiwa kukimbia baada ya kupata mwanamke mzigo tena mzigo mzito! Mwanamke haeleweki hana future mwanamke yupo yupo tu nikaona hizi huruma ndio chanzo cha matatizo yote haya! Furushi la giza!
Yaani jamaa na mshahara wote huo bado mm wa mtaani nimempita kimaendeleo maana tulikuwa tunashirikiana mtaa kwa mtaa kupiga job yeye alivyopata serikalini na mke juu ndipo akawa anakuja maskani na vilio kila leo...😄😄

Kawa na stress yaani siyo yule wa zamani aiseee cheza mbali na wanawake 😄😄😄
 
Kosa la Mwanamke hapo ni nini?
Unataka kuongeza idadi ya Single mother?
Nahisi kama huyo mwanamke hajiongezi anahisi kuwa kapata bwana mtumishi wa serikali hivyo kabweteka kutafuna kamshahara ka jamaaa 😄😄😄
 
Kuoa ni utumwa wanawake tuwapige shoo tu hakuna kuoa Yesu mwenyewe hakuoa wewe nani hadi uoe
Huu ndiyo msingi wa dunia hii, "Ishi wewe"..."Okoa maokoto yakuzike"
 
Kwa hali hii nilikuwa nimeshaanza kumsikiliza mama swala la umekua oa. Ila kwa sasa nijipange kumpiga kalenda. 900 elfu imeshindwa kuendesha familia? Je sisi ambao tukibahatisha kwa mwezi tunakula chini ya 500k tutaweza?
 
Back
Top Bottom