Nataka kuachana na ualimu haraka. Nikimbilie wapi?

Hizo kozi ulizoambiwa za mwisho achana nazo skushauri maana hazina faida kwa jamii utakuwa unapoteza muda tu .

Angalia nyengine mkuu , hao waliokushauri hawana nia njema na wewe [emoji23][emoji23][emoji23]
 

Kilichokusaidia sana naona ni kuunga hadi Master(Specialize), hapa ulibobea na ukatengezea wigo mpana. Kwa ambaye ataishia Bachelor ya Kozi Y badala ya Kozi yake X ya awali ndio patakuwa na shida labda ujuane na mwajiri wako ili asikumind
 
Naona yeye aliamini atapata kazi haraka kwa kozi aliyoenda kuisoma na hakuhangaika arudi kazini kwa kudanganya ili aendelee kulinda mkate wake
 
Hiyo option ya pili ni mbaya
 
Unaacha ualimu kwa njia ya kushauriwa na watu!? Acha kwa spirit yako mwenyewe utatoboa
 
Kilichokusaidia sana naona ni kuunga hadi Master(Specialize), hapa ulibobea na ukatengezea wigo mpana. Kwa ambaye ataishia Bachelor ya Kozi Y badala ya Kozi yake X ya awali ndio patakuwa na shida labda ujuane na mwajiri wako ili asikumind

Kilichonisaidia ni ile spirit niliyokuwa nayo na uthubutu wangu.

#YNWA
 
Pole sana Mkuu
Naukumbuka ule uzi wako ulitupa mwanga wengi.
Yote kwa yote maisha ni kupambana acha tuendelee kupambana.
nakumbuka mashujaa waliopambana vita na eid amini dada, kipindi wanarudi walikuwa wanaimba kuwa "mashujaa waliokufa wamekufa kishujaa na mashujaa tuliorudi tumerudi kishujaa"

na mimi nakazi kuwa "waliopata wamepata kishujaa na tuliokosa tumekosa kishujaa"
 
Tatizo sio mshahara....tatizo umetoka familia masikini sana.....na hilo sio tatizo lako mkuu
Serikali inapopanga mshahara laki 4 kwa mwezi imepanga kwa ajilk yako mtu mmoja anayefanya kazikwa maana kuwa unatosha kula, kulala na kuvaa, mambo yako ya mke, watoto, ndugu zako na mama yako hayo ni yako binafsi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…