amoc thedon
JF-Expert Member
- Jul 19, 2016
- 345
- 531
- Thread starter
- #41
Nyumbani ni geita nyankumbuNjoo huku kanda ya ziwa tuchimbe dhahabu. Pamehila kinoma.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyumbani ni geita nyankumbuNjoo huku kanda ya ziwa tuchimbe dhahabu. Pamehila kinoma.
Ualimu ni kama kitanzi fulani hivi.Late 2009 kuna Mwl mmoja alifanya uamuzi kama huu unaoutaka wewe, yeye alisoma kozi fupi ya Ualimu wa Sekondari mwaka 2006 kipindi Shule za kata zimeanzishwa. Sasa alimua kwenda kusoma Degree ila aliamua kubadili kozi ya kwenda kusoma chuo, alichagua Accountancy na alifanikiwa kudahiliwa UDOM.
Wakati anaomba ruhusa kwa mwajiri wake(DED) alidanganya kuwa anaenda kusoma Ualimu akapewa ruhusa.
Baada ya kumaliza Chuo akiwa na Degree ya Accountancy akashindwa kurejea kwa mwajiri ili aendelee na kazi maana alidanganya tangu mwanzo. Akaamua kuingia mtaani ili atafute kazi. Aisee mambo yakawa magumu sana akafanya Application nyingi za kazi bila kuitwa hata Interview moja, stress si ikapiga hodi akakondeana hatari maana mwanzoni alikuwa bonge. Wenzio ambao hawakudanganya wakarejea kazini(Ualimu) bila usumbufu wowote tena wengine waliopata GPA kubwa walipangiwa Vyuo vya Ualimu kwenda kufundisha, yeye akaanza kujutia uamuzi wake.
Sasa hivi sijui yuko wapi maana mara ya mwisho nilikutana naye mwaka 2015.
Kwa hiyo binafsi nashauri kama hauna chanzo kingine cha ugali, usiache ualimu ukakimbilia kusoma kozi nyingine tofauti na hiyo Ualimu, imagine walimu wamejaa mtaani wenye degree na wanatamani wakafundishe hata Primary angalau wapate hela ya kusogeza siku
Kweli kaka maisha magumu hku mixer ndugu Atari tupuKama una chanzo cha mapato kingine unaweza acha, lkn nakushauri Usiache kaz km huna direction, kutoka no rahis Ila kuingia ni shughuli pevu lkn bora hata ungekuwa na BA, ya education lkn kwa dip utaona hela haitosh pia wapo wengi mtaan wanatamn nafasi ulonayo
Upo sahihi .... mshahara umetoka jana lakin leo sina kitu na gas inaelekea ukingoni , na ndugu na wadogo zangu wanaomba chochote, wanaamini nnakaz nna pesa kumbe taabu tupuUalimu ni kama kitanzi fulani hivi.
Kujinasua inabidi utumie timing vinginevyo kinakifyatukia.
Huko halmashauri unyama sana
still unapoteza muda mkuu kwanza muajiri wako haitambui hiyo course, ingekua enzi za Kikwete ungeweza enda kusoma hata Mass Communication ukae chuo hata miaka 10 hakuna wakuzuia mshahara au kukuuliza mbon hurudi kazin...Ahsante ndugu lkn vp nikienda kuchukua bacherol ya physics ama biology pasipo ualimu?
Kuna mwalimu mmoja alinikipa elfu 10.Upo sahihi .... mshahara umetoka jana lakin leo sina kitu na gas inaelekea ukingoni , na ndugu na wadogo zangu wanaomba chochote, wanaamini nnakaz nna pesa kumbe taabu tupu
Mungu akubariki sana ndugu, maana ungemkopesha mungesha vunja udugu / ujamaa wenu .maana hana kwa kutoa hyo pesa .Kuna mwalimu mmoja alinikipa elfu 10.
Daaaahhh nilimpa tu bila kumkopesha
Ngoja nifate ushauri ndugustill unapoteza muda mkuu kwanza muajiri wako haitambui hiyo course, ingekua enzi za Kikwete ungeweza enda kusoma hata Mass Communication ukae chuo hata miaka 10 hakuna wakuzuia mshahara au kukuuliza mbon hurudi kazin...
Kwasasa nenda kasome Bachelor ya ualimu bahat nzuri una masomo ya sayansi, ukitoka chuo rudi kazini fight kutoka ktk ualimu uhamie taasisi nyingine za serikali NECTA TET UKAGUZI TMDA TBS ukihangaika nao hawa ndani ya 2yrs wanakuhamishia kwao unalamba pesa nzuri, shida yenu walimu hamhangaiki kuuliza taasisi au wizara ambazo unaweza kuhamia... Asikudanganye mtu sasa hivi ajira hazipo otherwise kama una undugu na kiongoz mkubwa sana ambaye akikohoa tu unapewa kazi... Zamani wabunge wakurugenz DC Rc walikua wanaweza kumtafutia kazi mtu na akapata, ila sikuhiz hata wao wenyewe watoto wao wapo nyumban hawana kazi...
AhahahahaMungu akubariki sana ndugu, maana ungemkopesha mungesha vunja udugu / ujamaa wenu .maana hana kwa kutoa hyo pesa .
Achana na huyo motivational speaker gari posta kuoshwa ni buku 2Nilivoanza kusoma hii comment nilijua unamdhihaki ila dah kweli town apa mipango tuu.. [emoji119]
Yaani una Mshahara kila mwezi, una muda then mpaka sasa unategemeabkuja pesa za mshahara tu huo mshahara ukijunuisha muda unaopata kutokana na kazi ya uwalimu ungetumia Kama mtaji kutengeneza pesa ya pili.Upo sahihi .... mshahara umetoka jana lakin leo sina kitu na gas inaelekea ukingoni , na ndugu na wadogo zangu wanaomba chochote, wanaamini nnakaz nna pesa kumbe taabu tupu
Kwamba hapo mjini utakua uko mwenyewe tu mpaka kila siku uwe na bahati ya kupata magari 10 ya kuosha?ingekua ni rahisi hivyo mbona kila mtu angetaka kuifanya hiyo kazi.Mkuu usipende kua negative, utanisamehe kama ntakukera..ila yuko sahihi eneo lolote mjini mfano posta,mnazi,livingstone,mwenge (mlimani kwa madalali), na kwingine kwenye parking hukosi waosha magari..nna miez sijaosha gari town bei ilikua 3000 labda itakua imepanda, kulifuta tu vumbi gari 1500 mpaka 2000.
Gari ni nyingi sana mjin mkuu na nyingi zinapark na kutoka so hii ni fursa japo inaweza isifike 1M kama alivosema mana kuna gharama ya sabuni ya unga na maji..ila jiulize mtu kaingia town saa 2 asubuhi mpaka saa 12 jion. Mbona gar 10 easy tu tuseme kila saa ana gari 1... hata akipata magari 6 kwa siku bado si haba kuliko mzunguka na mavyeti moka imepaukaaa kutwa kuomba nauli!
Upo sahihi .... mshahara umetoka jana lakin leo sina kitu na gas inaelekea ukingoni , na ndugu na wadogo zangu wanaomba chochote, wanaamini nnakaz nna pesa kumbe taabu t
Acha kujidhalilisha mwalimu acha dhalilisha walimu kama shida zako ni wewe usiwapake matokeo walimu nyie ndio mnatakiwa kufukuzwa kazi maanq hamjitambuiMungu akubariki sana ndugu, maana ungemkopesha mungesha vunja udugu / ujamaa wenu .maana hana kwa kutoa hyo pesa .
Ataukumbuka hata huo ualimu!Nakushauri usiache kwanza ualimu. Kama una chanzo cha uchumi kilichosimama naweza kukubaliana na wazo lako la kuacha Ualimu, sasa hivi tatizo la ajira ni kubwa zaidi ya tunavyolizungumza.