Nataka kuahirisha kuoa Oktoba Mwaka huu

Nataka kuahirisha kuoa Oktoba Mwaka huu

Granted Faith

Member
Joined
Jul 4, 2021
Posts
57
Reaction score
292
Wadau nisaidie kimawazo na Ushauri Mwaka huu Mwez October ni harusi yangu ila Gafla imetokea sitaki kusikia kitu kuhusu ndoa kabisa. Inshort sitaki kuoa Mwaka huu hata mwanamke nayetaka kumuoa sitaki hata kumuona nimetokea kumchukia Namuona hadi ni kero kwangu [emoji26]

Taratibu zote za harusi tayari ila nataka kuahirisha kufunga ndoa mwaka huu nifanyaje ili hii harusi isifungwe mwaka huu nimechanganyikiwa [emoji2319]

1625727787067.png
 
Pole sana mkuu,

Tafuta sababu yoyote kubwa tu.

Hata jifanye umepata safari ya ghafla ya kazi yenye mslahi makubwa so usogeze mbele, then manyoya.
 
Wadau Nisaidie Kimawazo na Ushauri Mwaka huu Mwez October ni harusi yangu ila Gafla imetokea sitaki kusikia kitu kuhusu ]
Unachanganyikiwa na nn?
Hujaridhika na unaetaka kumuoa?

Au umalaya wako umeshakula kicheche cha Mtaaani kinakuroga?

Mshirikishe Mungu kabla hujaaamua
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kama hujarogwa mpaka meza hii unataka ipindua bac ni dalili uta.....

Nakuombea Mungu usipatwe na akuepushe nayo maana waswahili hawafai.
 
Title imenishtua kidogo. Nimesoma kwa haraka haraka eti "Kuharisha" kumbe ilipaswa kuwa kuahirisha [emoji16][emoji16][emoji16]

Screenshot_20210707-115144.jpg


On a serious note: unafikiri ni kwa nini hali hiyo imekutokea? Kuna tukio la kutisha limetokea maishani mwako (mf. kufiwa na mtu wa karibu, kufukuzwa kazi...) au huko nyuma uliwahi kuumizwa sana na wanawake kiasi kwamba unafikiri hata huyu atakufanyia hivyo hivyo kama waliotangulia? Au kuna watu hawataki hiyo ndoa yako na huyo binti?

Tafuta chanzo cha hisia hizi na itakusaidia sana huko mbeleni. Ni hayo tu kwa sasa [emoji2211][emoji2211][emoji2211]
 
Tatizo lako lilianzia pale ulipowatangazia hata wale uliowaaminisha kuwa utawaoa na haikuwa hivyo.

Kwa nini mnatangaza sana uchumba kuliko ndoa?
Kikulacho kinguoni mwako.

Ktk vitu ambavyo havishauriwi kuvichelewesha ni vitatu
1. Ndoa
2. Kuzika
3. Kusilimu

Hivi vitu huwa vina fitna nyingi ndani yake.
Tafadhali usihairishe km huyo mke mtarajiwa hajakukosea
 
Back
Top Bottom