Nataka kuahirisha kuoa Oktoba Mwaka huu

Nataka kuahirisha kuoa Oktoba Mwaka huu

Fanya maombi kutokana na imani yako, Shetani yuko kazini anataka kuvuruga mipango yako, Mungu akusaidie.
 
Umenikumbusha kuna ndugu yangu mmoja siku ya ndoa yake kafika kabisa eneo la tukio hataki kushuka kwenye gari anadai ameghairi kuoa, tulifadhaika jamani, ukweni tushakaribishwa anasubiriwa bwana harusi akunje goti tuchukue mke jamaa kagoma akadai alikurupuka akili ndio imerudi,

Baba ake alibaki nyumbani ikabidi apigiwe simu akasema anakuja, alipofika akaomba chumba cha peke yao ana mazungumzo na mwanae wakapewa, nakumbuka tulisikia tu sauti za 'Paaaah, Puuuuh, Kbuuuuum' kama dakika 10 hivi wakatoka uelekeo mahali pa kufunga ndoa, ndoa ikafungwa kwa nderemo na vifijo,

Baadae tunamuuliza mzee baba vipi asema alikua nervous akavuta sana bangi kumbe baba ake alimjua akampiga sana makofi na mateke akili ikawa sawa akaenda kuoa,

FUNZO: Sio kila jambo ni Uchawi wengine ni Mibangi yao tu.
 
paaah, puuuhhh,kbuum 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Uamuzi wa kawaida huo.Nishawahi kuahirisha mara mbili
 
Utawatesa ndugu zako kushinda kwa waganga ili upone kichaa chako ww oa tu mkuu kule hakuna vitanda na kuna barid sana
 
Wadau nisaidie kimawazo na Ushauri Mwaka huu Mwez October ni harusi yangu ila Gafla imetokea sitaki kusikia kitu kuhusu ndoa kabisa. Inshort sitaki kuoa Mwaka huu hata mwanamke nayetaka kumuoa sitaki hata kumuona nimetokea kumchukia Namuona hadi ni kero kwangu [emoji26]

Taratibu zote za harusi tayari ila nataka kuahirisha kufunga ndoa mwaka huu nifanyaje ili hii harusi isifungwe mwaka huu nimechanganyikiwa [emoji2319]

Usitoe mahari tu
 
Huyo mchumba kuna kitu kibaya amekufanya? Kama sivyo jaribu kumshirikisha Mungu kuhusu hilo. Maana hapo unaenda kuweka kovu kwenye moyo wa huyo mchumba.
Jamaa kaamua tu kufanya uchizi😅
 
Umenikumbusha kuna ndugu yangu mmoja siku ya ndoa yake kafika kabisa eneo la tukio hataki kushuka kwenye gari anadai ameghairi kuoa, tulifadhaika jamani, ukweni tushakaribishwa anasubiriwa bwana harusi akunje goti tuchukue mke jamaa kagoma akadai alikurupuka akili ndio imerudi,

Baba ake alibaki nyumbani ikabidi apigiwe simu akasema anakuja, alipofika akaomba chumba cha peke yao ana mazungumzo na mwanae wakapewa, nakumbuka tulisikia tu sauti za 'Paaaah, Puuuuh, Kbuuuuum' kama dakika 10 hivi wakatoka uelekeo mahali pa kufunga ndoa, ndoa ikafungwa kwa nderemo na vifijo,

Baadae tunamuuliza mzee baba vipi asema alikua nervous akavuta sana bangi kumbe baba ake alimjua akampiga sana makofi na mateke akili ikawa sawa akaenda kuoa,

FUNZO: Sio kila jambo ni Uchawi wengine ni Mibangi yao tu.
Nimecheka jamani dah! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Izo aibu nazieka wapi kwa mfano, kama ameshakuja home, au labda iyo ndoa binti ndo alikuwa na shida nayo akajikuta amempa adi mwanaume ela ya mahari, lakini kama mwanaume mwenyewe ameamua na akili zake timamu akaenda kwa wazazi wa binti, akaandaa mahari akapeleka, afu aahirishe ghafla duh kuna la kujiuliza....
Kabisaaa yaan
 
Wadau nisaidie kimawazo na Ushauri Mwaka huu Mwez October ni harusi yangu ila Gafla imetokea sitaki kusikia kitu kuhusu ndoa kabisa. Inshort sitaki kuoa Mwaka huu hata mwanamke nayetaka kumuoa sitaki hata kumuona nimetokea kumchukia Namuona hadi ni kero kwangu [emoji26]

Taratibu zote za harusi tayari ila nataka kuahirisha kufunga ndoa mwaka huu nifanyaje ili hii harusi isifungwe mwaka huu nimechanganyikiwa [emoji2319]

Kwani lazima mfunge ndoa?
 
Fanya hivi...
Nenda kwenye zahanati private iliyokaribu nawe. Mpange mtu wa maabara kwamba utakuja na bbie kucheki afya/ kupima ukimwi.
Afu mwambie aseme umeathirika. Na hii no baada ya kumpa pesa
 
Umenikumbusha kuna ndugu yangu mmoja siku ya ndoa yake kafika kabisa eneo la tukio hataki kushuka kwenye gari anadai ameghairi kuoa, tulifadhaika jamani, ukweni tushakaribishwa anasubiriwa bwana harusi akunje goti tuchukue mke jamaa kagoma akadai alikurupuka akili ndio imerudi,

Baba ake alibaki nyumbani ikabidi apigiwe simu akasema anakuja, alipofika akaomba chumba cha peke yao ana mazungumzo na mwanae wakapewa, nakumbuka tulisikia tu sauti za 'Paaaah, Puuuuh, Kbuuuuum' kama dakika 10 hivi wakatoka uelekeo mahali pa kufunga ndoa, ndoa ikafungwa kwa nderemo na vifijo,

Baadae tunamuuliza mzee baba vipi asema alikua nervous akavuta sana bangi kumbe baba ake alimjua akampiga sana makofi na mateke akili ikawa sawa akaenda kuoa,

FUNZO: Sio kila jambo ni Uchawi wengine ni Mibangi yao tu.
😂😂😂😂 hii kiboko aisee, so mzee akatoa kipondo kwa jamaa akili zikarudi akaenda kuoa,

Queen hii ya kweli au umeamua tu kutuvunja mbavu???
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hii kiboko aisee, so mzee akatoa kipondo kwa jamaa akili zikarudi akaenda kuoa,

Queen hii ya kweli au umeamua tu kutuvunja mbavu???
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Weka sababu za kumchukia hadharani. Haiwezekani ghafla tu KE uliyempenda hadi kumchumbia ukamtambulisha kwenu na ukakubali kutambulishwa kwao na kukamilisha process zote za harusi hutaki hata kusikia jina lake. KULIKONI!?
Huyo atakuwa kamegewa tu. Na itikadi zake za kuhonga bado kachapiwa so ana machungu sana
 
Back
Top Bottom