Nataka kuahirisha kuoa Oktoba Mwaka huu

Nataka kuahirisha kuoa Oktoba Mwaka huu

Mwambie umetambua una Ukimwi tu, afu weuka au kimbia kwako Upotee milele
 
Wadau nisaidie kimawazo na Ushauri Mwaka huu Mwez October ni harusi yangu ila Gafla imetokea sitaki kusikia kitu kuhusu ndoa kabisa.

Inshort sitaki kuoa Mwaka huu hata mwanamke nayetaka kumuoa sitaki hata kumuona nimetokea kumchukia Namuona hadi ni kero kwangu [emoji26]

Taratibu zote za harusi tayari ila nataka kuahirisha kufunga ndoa mwaka huu nifanyaje ili hii harusi isifungwe mwaka huu nimechanganyikiwa [emoji2319]
...Why ghafla Cold feet, mkuu? Utakuwa umemtia Nuksi binti ya Watu na humtendei Haki!
Saa hizi yupo huko anajiandaa kisaikolojia kwa Harusi yake ya mwezi Oktoba na kuwashirikisha Ndugu na Marafiki halafu....Pwaa!! Mzee unaingia Mitini!
Tafakari na kumbuka Karma....!
 
Beba panga jifanye umechanganyikiwa nendaa ukweni kama kuna gari katakata matairi au kama kuna mifugoo piga panga mbuzi mmoja....utapiigwa lifetime ban kwenye hiyo familiaa[emoji1787][emoji1787]
 
Beba panga jifanye umechanganyikiwa nendaa ukweni kama kuna gari katakata matairi au kama kuna mifugoo piga panga mbuzi mmoja....utapiigwa lifetime ban kwenye hiyo familiaa[emoji1787][emoji1787]
😁😁
 
Ndo maana ongezeko la waokota makopo linazidi, ndoa zenyewe za kulenga kwa manati saivi uniambie huoi? Mwenzio anataka kuitwa mrs flani ayayajajajayayaaaaa nakwambia jina lako lingebadilika.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaaah
 
Waambie ndugu na jamaa na huyo mkeo mtarajiwa kua umekua shoga unataka uolewe na kwamba huhitaji mwanamke tena bali unataka mwanaume wa kukuoa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan wee mawazo yako daaah
 
Uchagani inafanya kazi mkuu..mimi nilikua na hamu ya mbuzi wazee wakawa wanabana,nikabeba panga nikakata migomba kama 10 hivi kesho yake nikachinjiwa mbuziii kuniondolea mikosi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaaah
Izo aibu nazieka wapi kwa mfano, kama ameshakuja home, au labda iyo ndoa binti ndo alikuwa na shida nayo akajikuta amempa adi mwanaume ela ya mahari, lakini kama mwanaume mwenyewe ameamua na akili zake timamu akaenda kwa wazazi wa binti, akaandaa mahari akapeleka, afu aahirishe ghafla duh kuna la kujiuliza....
 
kuna kitu, huyo dada popote alipo aanze kusali kwa bidii.
 
Ndio maana huwa sitaki mambo ya harusi ona unavowaza sasa.
Ukiachana na gaharama pia wengi wanaofanya harusi(sherehe), inafikia kipindi wanaishi kuridhisha watu kuachana hawawezi maskini yaani tabu tupu, wanawaza tu mtaa utawaonaje.

Pole ndgu yangu waambie tu hali halisi kama ni waelewa. Ila kama si waelewa tafuta sababu yoyote kubwa ama lah mueleze mtu yeyote anasikilizwa sana na familia , hakikisha yupo upande wako.
 
Wadau nisaidie kimawazo na Ushauri Mwaka huu Mwez October ni harusi yangu ila Gafla imetokea sitaki kusikia kitu kuhusu ndoa kabisa. Inshort sitaki kuoa Mwaka huu hata mwanamke nayetaka kumuoa sitaki hata kumuona nimetokea kumchukia Namuona hadi ni kero kwangu [emoji26]

Taratibu zote za harusi tayari ila nataka kuahirisha kufunga ndoa mwaka huu nifanyaje ili hii harusi isifungwe mwaka huu nimechanganyikiwa [emoji2319]

Sala saana mzee wanaume wengi walio makaburini na magerezani ni sababu ya wanawake/ndoa
 
Back
Top Bottom