Granted Faith
Member
- Jul 4, 2021
- 57
- 292
Unachanganyikiwa na nn?Wadau Nisaidie Kimawazo na Ushauri Mwaka huu Mwez October ni harusi yangu ila Gafla imetokea sitaki kusikia kitu kuhusu ]
HahahahaaSema umekuwa khanithi..utafunga ndoa pale ambapo tatizo hilo litaisha.
Washamwambia huko juu atarogwa..🤣Huyo mchumba kuna kitu kibaya amekufanya? Kama sivyo jaribu kumshirikisha Mungu kuhusu hilo. Maana hapo unaenda kuweka kovu kwenye moyo wa huyo mchumba.
Hahaha hebu mpe walau majina mapya ambayo muda sio mrefu anaweza kuitwa baada ya kughairi kuoa.Ndo maana ongezeko la waokota makopo linazidi, ndoa zenyewe za kulenga kwa manati saivi uniambie huoi? Mwenzio anataka kuitwa mrs flani ayayajajajayayaaaaa nakwambia jina lako lingebadilika