Nataka kuahirisha kuoa Oktoba Mwaka huu

Hutaki hata kumuona Mwanamke uliyemchagua kulala nae na kuamka nae maisha yenu yote...!
 
Hyo ya kuzika na kusilimu jamaa zetu wenye mahusiano na Waarabu huwa wanaifanya faster..


Sent from my V2027 using JamiiForums mobile app
 
Mmachame atakunyonga
 
Na ukioa utajutia, em fanya kile moyo umekuelekeza.Inaumiza kama umemwachia mimba ila kama yuko poa we waambie navuta mpaka mwakani afu ndani ya mahusiano tafuta sababu mchunie jumla
 
Waambie ndugu na jamaa na huyo mkeo mtarajiwa kua umekua shoga unataka uolewe na kwamba huhitaji mwanamke tena bali unataka mwanaume wa kukuoa.
 
Nini kuchanganyikiwa, jifanye umekufa kabisa…. uchawi wa huyo binti umeisha sasa akili imerudi.
 
 
Labda ungeleta za sababu za msingi.

Ila niulze tuu kwenye mahusiano mko kwa muda gani?

NB:-usikute ulilogw na demu huyoo
 
Weka sababu za kumchukia hadharani. Haiwezekani ghafla tu KE uliyempenda hadi kumchumbia ukamtambulisha kwenu na ukakubali kutambulishwa kwao na kukamilisha process zote za harusi hutaki hata kusikia jina lake. KULIKONI!?

 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Acha kuingia ndoani kubaya huko oooooh .wewe kula kona au jifanye umepata kichaa
 
Acha kuingia ndoani kubaya huko oooooh .wewe kula kona au jifanye umepata kichaa

Kila ukimuona huyo mchumba kichaa kinapanda....atajiongeza mwenyewe 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…